Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

Sa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?

Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?

Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
Wewe lazima utakuwa na ndevu hili povu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zote
Af ukishamnyoa zote wakati anakukaza useme bby mbona huna hata ndevu hata kiduchu? Wanawake akili zenu bana 😂😂😂 mungu awarehemu!
 
Umeona Jamani hapo
FB_IMG_15883572505508455.jpeg
FB_IMG_15883571971053949.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Mtu anayeandika hivi utakuta hapo alipo ana
1 kope feki
2 Wigi
3 tako la sponge
4 kucha fake
5 Nyusi fake
6 Meno fake
7.lips fake
8 kapiga Make ups mpaka matakoni
9. Life fake
10. Love fake

Halafu anakuja kucriticise ndevu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom