Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Haituhusu sisi
 
Sa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?

Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?

Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
Hahaha

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom