Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,265
- 1,306
capital letter where are u?Ndio wanaita urembo, machon kope bandia, mkononi kucha bandia, takoni napo tako bandiakuna baadhi ya wanawake wanashida sana
capital letter where are u?Ndio wanaita urembo, machon kope bandia, mkononi kucha bandia, takoni napo tako bandiakuna baadhi ya wanawake wanashida sana
Mwanaume ambae hana ndevu tofauti yake na mwanamke ni nini?
"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"

🤣

capital letter where are u?
Wewe mleta mada natamani ningepiga picha nikionyeshe zangu zinavyo meremeta. Nawashangaa mno msotupenda sisi wenye ndevu. Unataka yunyoe tuonekane kama emoji au?
Sent using Jamii Forums mobile app






Wacha bhanaHizi ndevu zangu siku nikikuonesha matumizi yake kwako walahi utaanza kupenda kila mwenye ndevu.



Hebu fanya kuonyesha kwa picha hayo matumiziSema hujawahi kuona matumizi yake![]()


Nimeona aibu mimi sijui nani aliandika hapo😂😂😂Wacha bhana![]()
🏃♂️🏃♂️🏃♂️Hebu fanya kuonyesha kwa picha hayo matumizi![]()
Nimeona aibu mimi sijui nani aliandika hapo![]()




