April7
Member
- Aug 5, 2019
- 36
- 70


niendelee nisiacheasiyejua maana,haambiwi maana shoga.


ndo kusemaje mbona waniacha shoga angu 😅😅acha kabisa chindyNdio hivyo shoga, nasisi wenyewe twazipenda hatari, twazichezea tu 😂😂😂
Basi Tuseme mm niko kwa shida inabidi nimtafute Dr anipe tiba ya kisaikolojiaanazamia meli au nn
Hata kukukumbatia tu mah zinakusisimua
😅😅😅wengine ndo wakipendacho mtu anakwambia nimekupendea ndevu acha kabisaa🧔🧔Ungejua wenzako wanavyo zimikia madevu yetu hehehh
Nakumbuka Mama watoto Alikua ananimbia zinamchoma chomaniendelee nisiache
I'm on that good kush and alcohol
Kiaje mbona wajifanya wanijua sanaSasa wewe mwanaume unachukiaje ndevu za mwanaume mwenzio?
Au modds mnasemaje?
Na nikidate na wewe hakikisha huna make Wala makope kope na ma wigSiwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo shoga😂
unakuta mwanaume hana ndevu hana nywel kifuan Sasa tofaut yake na skonzi ni nini mwanaume ndevu hata kama ni chacheMwanaume ambae hana ndevu tofauti yake na mwanamke ni nini?
"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
HaujakoseaBasi Tuseme mm niko kwa shida inabidi nimtafute Dr anipe tiba ya kisaikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulitaka alete comparison na mwanaume mwenzake kwani aliyeleta mada ni mwanamke au mwanaumeHalfu wewe jibaba unaletaje comprasion na mwanamke wewe uko vipi kwani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kuna wengine wana midevu kama yote etMi napenda ila azipunguze Azinyoe dizain flan hivi ..
afu zinatekenya na kusisimua pia
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app