

Kusoma haujui hata picha hauoniSasa ulitaka alete comparison na mwanaume mwenzake kwani aliyeleta mada ni mwanamke au mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa lipi et
Unataka wanawake kama wasabato etSimpendi mwanamke mwenye kuvaa minywele ya bandia au kusukia,kwa nini usiwe natural tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nimekuelewa Jamani shoga wa mimiHaujakosea
Sema kipendacho roho bwana
Upite kushoto Tukwa iyo sisi wanaume wenye mizuzu na michebe tusikutafute kabisaa.?
yani ndo unatuchinjia baharini hivi hivi na michebe yetu kwenye kidevu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mm ndo nampendaga sasaunakuta mwanaume hana ndevu hana nywel kifuan Sasa tofaut yake na skonzi ni nini mwanaume ndevu hata kama ni chache
Kweli jamanHizi ndevu zangu siku nikikuonesha matumizi yake kwako walahi utaanza kupenda kila mwenye ndevu.
Duuhmm kuna muda huwa zinakuwa nyingi mpaka wana wananiitaga Isco![]()
Sema hujawahi kuona matumizi yake😂😂😂😂
Ungejua wenzako wanavyo zimikia madevu yetu hehehh
Nakumbuka Mama watoto Alikua ananimbia zinamchoma chomaniendelee nisiache
I'm on that good kush and alcohol
Kazi ya ndevu ni nini mrembo?Shoga kazi yake unaijua lakini?!!!