Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

Wanaume wenye ndevu mna nafasi ya pekee sana moyoni mwangu hata mbinguni pia😊😊😋
Vipi kuhusu vijindevu maana wengine ndevu zipo za ushahidi tu kipindi cha kutoa mahari ila sio kichaka kama rickross zile!

Manz yangu kila siku ananiambia tafuta hata mafuta u boost ndevu hizo mie nachekaa wee. af kuna boya anadiss ndevu eti 😂😂😂
 
Umeona Jamani kama hao walivyo pendeza hadi raha
FB_IMG_15883575829383979.jpeg
FB_IMG_15883576116962865.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Yani kirevu changu king'ae Kama titi. NEVER!!!

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
wanawake 'wife materials' wanakucheki kwa mbali wanacheeka...

Ofcourse mwanamke wa la 7 mpaka form 4 hana hizi mbwembwe, na hawa ndio tunaoa.

Over
 
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Uko form ngapi kwani ? Tuanzie hapo kwanza.

Wenzio tukizinyoa tu tunanuniwa week nzima. Pengine wenzako watakupa ushuhuda wa matumizi ya hizo ndevu na raha wanazozipataga wakiguswa na hizo ndevu japo hapo kifuani tu kwenye Ile michongoma miwili, mmoja upande wa Kushoto na mwingine upande wa Kulia.
 
Vipi kuhusu vijindevu maana wengine ndevu zipo za ushahidi tu kipindi cha kutoa mahari ila sio kichaka kama rickross zile!

Manz yangu kila siku ananiambia tafuta hata mafuta u boost ndevu hizo mie nachekaa wee. af kuna boya anadiss ndevu eti 😂😂😂
Mwenyewe nakazia hapo kwenue kutafuta mafuta ya kiboost ndevu.

Vijindevu najitahidi kuvielewa😂😂😂 zile za Rick Ross ndo zenyewe😋😋😋
 
Siwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zote
Wengine tukinyoa leo wiki tu zishajaa sasa tukihudhuria kila wiki saluni si ndo kuanza kukomazana ngozi mkuu?

☆Magnum Opus☆
 
Back
Top Bottom