capital letter where are u?Ndio wanaita urembo, machon kope bandia, mkononi kucha bandia, takoni napo tako bandia [emoji38][emoji16] kuna baadhi ya wanawake wanashida sana
Mwanaume ambae hana ndevu tofauti yake na mwanamke ni nini?
"Fα΅Λ‘Λ‘α΅Κ· α΅Λ£αΆα΅Λ‘Λ‘α΅βΏαΆα΅ Λ’α΅αΆαΆα΅Λ’Λ’ Κ·β±Λ‘Λ‘ αΆΚ°α΅Λ’α΅ α΅α΅βΏα΅Λ’ α΅α΅Κ·N"
capital letter where are u?
Wewe mleta mada natamani ningepiga picha nikionyeshe zangu zinavyo meremeta. Nawashangaa mno msotupenda sisi wenye ndevu. Unataka yunyoe tuonekane kama emoji au? [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha bhana[emoji16][emoji16][emoji16]Hizi ndevu zangu siku nikikuonesha matumizi yake kwako walahi utaanza kupenda kila mwenye ndevu.
Hebu fanya kuonyesha kwa picha hayo matumizi[emoji23][emoji23]Sema hujawahi kuona matumizi yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona aibu mimi sijui nani aliandika hapoπππWacha bhana[emoji16][emoji16][emoji16]
πββοΈπββοΈπββοΈHebu fanya kuonyesha kwa picha hayo matumizi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona aibu mimi sijui nani aliandika hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaamini nilichosoma