Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
WEWE VIPI? JE UNAVAA WIGI?
 
IMG_20200105_193857_0~2.jpg

Hii ni disemba mwaka jana mpaka sasa bado sijanyoa utajua mwenyewe nipoje!!

Hiii ni January 2020. Mpaka sasa sijanyoa..
IMG_20200229_210456_6~3.jpg

Saint Anne
 
Sa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?

Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?

Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
umesahau push up bra :D
 
Herufi Kubwa Njoo inbobo tuyajenge labda tunaweza kuendana U never know!! Sifugi ndevu
 
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Mie sipendi kabisa wanawake wanaovaa nywele za bandia za wahindi na wazungu wa Brazil, hivyo sijawahi kuwa nao, kwa hiyo na wewe tafuta mwanaume mwenye tako usoni tuache siye wenye ndevu tunapendwa na wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom