Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Huyo wa mwishoEm ona hawa wanavofaa kwa matumizi ya binadamu
View attachment 1438352View attachment 1438353View attachment 1438354View attachment 1438355





Huyo wa mwishoEm ona hawa wanavofaa kwa matumizi ya binadamu
View attachment 1438352View attachment 1438353View attachment 1438354View attachment 1438355





Hata kama ni mbiliNi kama sina tu..mtihani mkubwa huu
Wewe umeongelea ndevu na mifano ya picha umetoa!!
Na nyie ndio mnataka ndevu duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na vindevu viwili ni bora kuzikata mana haziwezi kupendeza.Hata kama ni mbili
Usizikate
Wapo wengine zimewazidia
Dah Jibu lako limesababisha hata nisiendelee zaidi!!
Napenda ziwe kidogo tu sio zile unaweza kabisa kusuka mabutuDah Jibu lako limesababisha hata nisiendelee zaidi!!
Kwani wewe hupendi kabisa!??
Maana kuna ndevu na madevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh unyoe zile za pembeni sasa zibaki kidevuni kama unapenda ndevu sana
Ushauri umezingatiwa,ngoja nijitazame vizuri..Eeh unyoe zile za pembeni sasa zibaki kidevuni kama unapenda ndevu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naisubiria sample kwa hamuUshauri umezingatiwa,ngoja nijitazame vizuri..
Then nitakuonesha sample moja
Sent using Jamii Forums mobile app


Mhhh sijui km ntaaacha jmn,ugonjwa wanguKuwa na vindevu viwili ni bora kuzikata mana haziwezi kupendeza.
Utakapoacha kuzipenda ndevu usisite kuniambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa
Km ni kitu napenda basi ni ndevuu,
Yani sipendiii kbs akikata ndevu


kama nakuona wakati zinakutekenyaHuwapendi wanaume au hupendi ndevu, utadate na usiye mpenda Tena,Siwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zote
Hvi hakuna namna kuziotesha!!?Mhhh sijui km ntaaacha jmn,ugonjwa wangu

