Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Naunga mkono hojaHujukutana na wanaume wenye kujua kuzitumia ndevu zao wewe..ndevu zina utamu wake haswa mtumiwaji akijua kuzitumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaHujukutana na wanaume wenye kujua kuzitumia ndevu zao wewe..ndevu zina utamu wake haswa mtumiwaji akijua kuzitumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako wanatupenda. Kwani we maulana hadi utupende wote?Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu
Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU
Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Hata kama yesu angekuwepo kipindi hiki usinge mpendaMambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu
Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU
Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Kwani we ni shoga au! Unakuaje na boyfriend ilihali wewe ni mwanaume?
Kivip mkuu mbona unaniforce kuwa mwanaume ebu angalia Vizuri nyuzi zangu maana sikuelewiKwani we ni shoga au! Unakuaje na boyfriend ilihali wewe ni mwanaume?
Au modds mnasemaje?
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu
Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU
Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
EwaaaNdrevu sunna
Maana znasaidia kuleta nanii hata kabla ya nanii haijaamua kuanza ku nanii
Ah sio lazima niandike vyote.
Thank youuUuuwiiii, my man lazima awe na ndevu, nikilala kifuani kwake, vidole vishikeshike ndevu, nizisokote, nizisukesuke, ndevu taaam bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tusio na ndevu sijui tutafanyaje aisee!!Em ona hawa wanavofaa kwa matumizi ya binadamu
View attachment 1438352View attachment 1438353View attachment 1438354View attachment 1438355
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu
Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU
Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Yani huna hata chache?.
Ni kama sina tu..mtihani mkubwa huuYani huna hata chache?.