Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Shida ya nini sasa wanaume wasio na ndevu si wapo tuache na ndevu zetu na hakuna mwanamke wakunicommand ninyoe ndevu
 
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
apo unatukosea ndevu ni neema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muone mwenzio hapa
IMG_20200426_195421.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Hizihizi ndevu ambazo zimemfanya ex wangu juzi nilivyo mpa hug akashtuka zilipo mgusa kwa shingo?...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...utakuwa na mapungufu ktk hisia halisi za mapenzi
 
Back
Top Bottom