Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee.

Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale ya Ligi ya NBC yataendelea katika viwanja vingine, kwa hiyo Yanga na Simba watalazimika kutumia viwanja vingine kama vile Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya mashindano hayo.

Ikumbukwe ni Simba pekee kutoka Tanzania ndiye anategemewa kushiriki katika mashindano hayo ya Super Cup. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa ushiriki wa Simba katika Super Cup umeharibu uenyeji wa Yanga katika mashindano ya ndani na hawana la kufanya masikini.
Kanjanja FC.
 
Hapana haujaielewa. Uliza wenzio watakuelewesha.

Hakijaeleweka Nini, Huyo Bwana Si Ndio Aliowapamba Nyie Ndio Wakombozi Wa Wanyonge Huku Ukanda Wa CECAFA Ama?, Then Kilichofata Wakombozi Wa Wanyonge Mkala Chuma Tatu Pale Kwa Mkapa Kama Mmesimama , Na Bado Morocco Raja Wanaenda Kuanzia Walipoishia Hapa Kwa Mkapa Dhidi Ya Wakombozi Wa Wanyonge
 
Hakijaeleweka Nini, Huyo Bwana Si Ndio Aliowapapamba Nyie Ndio Wakombozi Wa Wanyonge Huku Ukanda Wa CECAFA Ama?, Then Kilichofata ...
Haya kwa kuwa umegoma kuwauliza wenzio ngoja nikusaidie kidogo. Hapo ameorodhesha vipigo vya NYUMBANI kwa Raja, lakini ile mechi na Simba haikuchezewa Morocco. Pili, vipigo vya 6-0 na 5-0 siyo sawa na 3-0.

Turudi kwenye mada tafadhali.
 
Si Mliwacheka Vipers Kupigwa Tano Kule, Sasa Subiri Zamu Yenu Wakombozi Wa Wanyonge
Nionyeshe ushahidi kuwa Simba waliwacheka Vipers baada ya kufungwa na Raja. Pili, Simba hawezi kufungwa 5 kule, hilo nakuahidi.

Turudi kwenye mada.
 
Ikumbukwe ni Simba pekee kutoka Tanzania ndiye anategemewa kushiriki katika mashindano hayo ya Super Cup. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa ushiriki wa Simba katika Super Cup umeharibu uenyeji wa Yanga katika mashindano ya ndani na hawana la kufanya masikini.
Hakuna kitu kama hicho cha Simba peke yake kushiriki super cup! Mashabiki wa Simba hawanaga akili, wanalazimisha kitu ambacho hakipo!

Ukweli ni kwamba mpaka sasa hivi timu za super cup zote hazijajulikana. Jumla ni timu 24 ndizo zitashiriki kombe hilo kutoka vyama 16 vya soka Bargni Afrika.
 
Haya kwa kuwa umegoma kuwauliza wenzio ngoja nikusaidie kidogo. Hapo ameorodhesha vipigo vya NYUMBANI kwa Raja, lakini ile mechi na Simba haikuchezewa Morocco. Pili, vipigo vya 6-0 na 5-0 siyo sawa na 3-0.

Turudi kwenye mada tafadhali.

Wewe Ndio Hujaelewa, Hizo Ni Mechi Ambazo Raja Kashinda Kwake, Viper Hajapigwa Tano Kwake Kafungwa Kule Morocco Ambapo Nyie Wakombozi Wa Wanyonge Mtaenda Baada Ya Huku Kupewa Nusu Dozi Ya 0-3, Kule Mnaenda Kupewa Dozi Kamili
 
Hakuna kitu kama hicho cha Simba peke yake kushiriki super cup! Mashabiki wa Simba hawanaga akili, wanalazimisha kitu ambacho hakipo! Ukweli ni kwamba mpaka sasa hivi timu za super cup zote hazijajulikana. Jumla ni timu 24 ndizo zitashiriki kombe hilo kutoka vyama 16 vya soka Bargni Afrika.
Duh!
 
Wewe Ndio Hujaelewa, Hizo Ni Mechi Ambazo Raja Kashinda Kwake, Viper Hajapigwa Tano Kwake Kufungwa Kule Morocco Ambapo Nyie Wakombozi Wa Wanyonge Mtaenda Baada Ya Huku Kupewa Nusu Dozi Ya 0-3, Kule Mnaenda Kupewa Dozi Kamili
Mkuu mbona unateseka na Super League? Usihofu, huenda mtaanzishiwa ligi nyingine
 
Nionyeshe ushahidi kuwa Simba waliwacheka Vipers baada ya kufungwa na Raja. Pili, Simba hawezi kufungwa 5 kule, hilo nakuahidi.

Turudi kwenye mada.

Tulia Kwa Timu Gani Wewe Usipgwe Tano Au Sita Kule, Huyo Bocco Na Mzamiru Ndo Wanakupa Jeuri?, Kama Tu As Vita Alikupiga Tano Kwake Atashindwa Raja Casablanca?
 
Mkuu mbona unateseka na Super League? Usihofu, huenda mtaanzishiwa ligi nyingine
Na anateseka kweli masikini. Wamezinduka leo wanataka kujilinganisha na wengine ambao wamekuwa na ubora kwa karibu miaka 4.
 
Back
Top Bottom