Kweli kabisa mkuuu. Nakuongezea kwamba Tiger vs African Leopards. Nakuhakikishia huyo tiger anakimbia pambano, wanyama wa apa Africa ni Habari nyingine ukimletea hao wa uko anawapiga mapema. Wanyama wa apa Africa ni hatari sana. Hata awa Nile Crocodile ni Habari nyingine. Chui wa apa Africa akikutana na tiger anampiga kwa sababu ana uwezo wa kuluka na kumshambulia huyo tiger, kitu ambacho tiger ana uwezo mkubwa wa kuluka kama African leopards. Sasa huyo Africa leopard hawezi pambano na simba, Kumbuka simba dume analinda ktk Pride yake madume wasishambulie na anapambana na madume 4 yanayotafuta utawala wa Kupata umiriki(Pride). Simba ni mashine nyingineUpo sahihi sema,nimeona video nyingi za mapampano ya Tiger na Simba mwishoni Tiger huwa anashindwa ni kutokana na kuchoka. Hawezi kupigana muda mrefu,yeye ana attack kali yenye uhakika na kwa muda mfupi tofauti na simba ambaye ana uwezo wa kupambana muda mrefu.
All in all Tiger na Simba ni kama mnyama mmoja na hawawezi kukaa eneo moja kwa sababu wote wanajijua ndo wako juu ya ile ya rank ya eco system. Thatz why Simba anapatikana Afrika na Tiger yupo Asia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawai kuona picha ya African Leopard au African Lions ameshikwa na binadamu kama. Au ushaona ile big five inachezewa na watu ovyo ovyoHawa viumbe ni mapande kamanda...wakiletwa serengeti hakuna mnyama mkali ataebakia...
Bora uwaambie vijana wa maghorofani. Wanamfananisha simba na tiger. Na wakati tiger hata mziki wa African Leopard haugusi huyo tiger. Wangewauliza watu wa game reserve na tanapa wawaeleze kuhusu hawa jamaaWe jidanganye na stori za mtaani eti simba dime hajui kuwinda, siku ukiingia kwenye 18 zake ndo utajuta
Wale sio sawa na nyati wa apa Africa¶ Hana jeuri ya kumgusa nyati wa Africankiukweli simba ni overated sana.ndio maana battle ya peke yake huwa anaihamishia kwa wanyama wadhaifu kama swala,paa,au hata nyani.
ila mnyabi tiger anaweza kumkazia hata nyati na akatulia.
Sent using Jamii Forums mobile app
na katika woote hao ma big cat ,jaguar ndio anaongoza kwa kuwa na strongest biteforce even kuliko simba na tiger ....Sio sawa mkuu, huyo sio Alligator bali anaitwa Caiman crocodile, hawa ni aina ya mamba waliopo America ya kusini ni wadogo kuliko Alligators au Nile crocodiles na huliwa sana na Jaguar, Jaguar ni mkubwa kidogo kuliko chui lakini anafanana sana na chui wa huku Africa.
Dah ulivyoelezea kama naangalia mapigano liveTiger ana uwezo wa kupigana kwa kusimamia miguu ya nyuma wakati anatoa kichapo kwa adui.
Ni mnyama ambaye ni mwepesi mno na anashambulia kwa kasi kuliko simba!
Ana uwezo wa kujitupa na kujigeuza upande wowote wakati wa mapigano kwa kasi na kwa nguvu zote.
Bahati mbaya anachoka haraka tofauti na simba!
Simba anaweza asiwe na ufanisi wa mbinu za kupigana kama tiger lakini ana ujasiri na hachoki. Anapigana mpaka tone la mwisho la damu hata apigwe vipi hakimbii.
Tigers wana nguvu na ufanisi lakini ni wazembe. Anashambulia kwa kasi lakini akichoka anakimbia pambano!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimuona simba akimdondosha Buffalo na kumng'ang'ania twiga nikampitisha, ule mtiti hakuna mnyama mwingine jamii ya paka atakayeuweza.Hello,habari za majukumu wadau,bila shaka mtakuwa mko vyema na mnaendelea kuchukua hatua na tahadhari dhidi ya hili gonjwa dharimu la Covid-19 linalosababishwa na virus hatari wa corona,Mungu awabariki sana!.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna mjadala mahali fulani nimekutana nao kuhusu mnyama SIMBA na TIGER (Chui milia).
Kiukweli kama mnavyofahamu mijadala mizito mara nyingi huwa ina vuta nkuvute,kulingana na tafiti mbalimbali pamoja na Historia kadha wa kadha!,sasa kuna wengine waliosema ya kwamba SIMBA ni hatari zaidi ya Tiger na kuna wengine waliosema Tiger ni hatari zaidi ya Simba,na huo uhatari wao ni pale wanapokutana wao kwa wao.
Wapo waliosema SIMBA kwa uwezo wa nguvu,uwindaji,mapigano basi akikutana na Tiger atapokea kipondo kikali,lakini pia wapo vilevile waliosema kwamba Tiger kwa uwezo,minguvu,uwindaji na mapigano basi akikutana na Simba atampiga mpaka achakae kabisa,na si kuchakaa tu bali pia kuua kabisa.
Mtazamo wako wewe ni upi hapa,hebu lete facts za uhalisia,kiroho na kimwili pia unaweza kuhusisha!!
Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..[emoji382]
Mkuu jaguar ni mweusi, hapa namzungumzia chui huyu mwenye mabaka nikipata link ntaiweka hapa
Na huyu chui inafahamika chakula chake anachokipendelea ni mamba
Mkuu kuna movie moja kama umeshawai kuitizama inaitwa Apocalypto kuna sehemu yule msela alikua akikimbizwa na yule big cat mweusi ndo anaitwa nani... chui, duma,au jaguar??
Huyo kawa overrated sana na hiyo inatokana na ile mikwara ya sauti yake
We jifikirie tu, anaitwa lion king mara king of the jungle lakini hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote za uwindaji limemuachia demu wake
Mpaka hapo tayari simba dume hapaswi kuitwa king of the jungle wakati ni kibenten yani analelewa
Video imekataaa ni kubwaSimba dume akimkamata nyati ktk group bila msaada wa Simba mwingine. Na iyo nyati ina Tani View attachment 1434524
Sent using Jamii Forums mobile app
yule ni jaguar mkuu kwa jinsi nilivyomuelewa ...Mkuu kuna movie moja kama umeshawai kuitizama inaitwa Apocalypto kuna sehemu yule msela alikua akikimbiza na yule big cat mweusi ndo anaitwa nani... chui, duma,au jaguar??
Wanangu wa A town inakuaje??
[emoji106] [emoji106] [emoji106]yule ni jaguar mkuu kwa jinsi nilivyomuelewa ...
Kwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Mkuu unaongea kishabiki ama una fact? Huyo siberian tiger aka amur msikie hivyo hivyo. Ana mkamata tembo mwenyewe kama mmoja na kumuua. Huku Africa si simba wala chui wa Africa mwenye uwezo huo unless wamzingire.Kweli kabisa mkuuu. Nakuongezea kwamba Tiger vs African Leopards. Nakuhakikishia huyo tiger anakimbia pambano, wanyama wa apa Africa ni Habari nyingine ukimletea hao wa uko anawapiga mapema. Wanyama wa apa Africa ni hatari sana. Hata awa Nile Crocodile ni Habari nyingine. Chui wa apa Africa akikutana na tiger anampiga kwa sababu ana uwezo wa kuluka na kumshambulia huyo tiger, kitu ambacho tiger ana uwezo mkubwa wa kuluka kama African leopards. Sasa huyo Africa leopard hawezi pambano na simba, Kumbuka simba dume analinda ktk Pride yake madume wasishambulie na anapambana na madume 4 yanayotafuta utawala wa Kupata umiriki(Pride). Simba ni mashine nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app