LwandaMagere
JF-Expert Member
- Mar 15, 2020
- 264
- 2,490
- Thread starter
- #41
[emoji1787][emoji1787]Kwahiyo mkuu hilo kofi la kg 80 mbona ni balaaHapana mkuu, simba wameumbwa kupigana (warrior cat) na tiger ameumbwa kuua (killer cats).
Hiko hivi wakikutana mbugani Kati ya simba na tiger, tiger ni mnyama wenye madharau atakimbia na kuondoka.
Lakini ikitokea wakifungiwa kwenye cage sioni nafasi ya simba kuchomoka. Tiger anazo advantage nyingi sana kuliko simba, unaambiwa kofi moja la tiger lina KG 80.
Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..[emoji382]