huku wakali wa tz tunaongoza kwa mbili bila..
al nasri 0 - 1 azam bocco bado unaendelea
uwanja unaonekana una maji sana
Mvua ikinyesha Simba huwa anashindauwanja unaonekana una maji sana
Mfa maji ...ni kweli maji uwanjani yanaharibu utamu .
Mwaka 2005 tulikuja na kombe la Tusker kutoka Kenya baada ya kuwafunga Asante Kotoko, soma kwa makini jina la timu tuliyoifunga.
Sio kila siku ni jumapili!Mvua ikinyesha Simba huwa anashinda
Wakali wa TZ? Kwani Young Africa wanacheza leo?
Umesema hatujawahi kuja na kombe kutoka nchi za nje, nimekuletea unaanza visingizio tena, sisi hatujali hata kama lingekuwa la Umisseta ili mradi tumelinyakuwa nje nchi, kwani sisi tuliwaambia walete watoto, hata kama ni watoto lakini wanawakilisha timu hiyo hiyo ya Asante Kotoko, na hoja kubwa ilikuwa kuleta kombe kutoka nje, kwa hiyo mkuu usifikiri sisi hatujawahi kuleta kombe toka nje tatizo lako unadhan kombe ni la Kagame tu.Tehe tehe tehe......tehe tehe tehe!
Tusker nalo kombe. Timu 4 zinashindana na wewe unaita hiyo michuano?
[h=2]Tusker Cup 2005 (Nairobi)[/h]
Friendly international club tournament organised by Tusker Brewery. According to Tanzanian sources, it was a sort of continuation of the four Tusker Cup tournaments held there before. Certainly Simba SC qualified for the tournament by first winning the fourth edition of that tournament series just before. Participants: Asante Kotoko (Ghana) SC Simba (Tanzania) SuperSport United (South Africa) Tusker (Kenya) Semifinals [Jul 27] Tusker 2-0 SuperSport United Simba 4-2 Asante Kotoko Final [Jul 30] Tusker 0-1 Simba [Said Sued 68]
Super Sports na Asante Kotoko wakalaumiwa kwa kuleta wachezaji wa kikosi cha pili na tangu kipindi hicho hawakualikwa tena