Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 727
Nani anayetia aibu? Ona hapa:je wewe unaishia afrika ya wapi? Na nini mafanikio yako huko uendako zaid ya kupoteza mda na kututia aibu
Nani anayetia aibu? Ona hapa:je wewe unaishia afrika ya wapi? Na nini mafanikio yako huko uendako zaid ya kupoteza mda na kututia aibu
Ahahahahahahah..Mmmmh bora liishe hapo hapo kwenye libolo sasa likiingia mpaka chipumbu simba watatolewa kizazi sasa.
Wazee wa kuishia Afrika Mashariki!
nasikia leo kaseja kashtuka ana anzi bench mwache yule mganda apigwe liboro leo aheeee.nyie ndio watoto wa msomali ninaowatafuta, sisi africa mashariki hatuishii, tunaenda kushindana.
Kuna maneno ya kipumbavu yanazagaa kwenye hizi redio ambazo watangazaji wa michezo ni wachaga, eti simba koko ndio inaiwakilisha tanzania vizuri nje ya nchi.
Mi naomba kama kuna mwanaume hapa jf mwenye jeuri ya kuzungumza na mwana mtoka pabaya, ajitokeze anieleze ni lini simba iliwahi kupanda ndege (kuvuka mpaka) na kombe?
Yanga imeshafanya hivyo mara 2. Imekwenda nje kushindana na kurudi na kombe.
angalizo: usije ukanitajia kombe la maulid mnaloendaga kucheza kwa kina kakke, nitakutukana matusi ya nguoni
nasikia leo kaseja kashtuka ana anzi bench mwache yule mganda apigwe liboro leo aheeee.
Yanga wivu mtaacha lini?mnakua ka mashabiki wa arsenal bhana amna k2 ila mikelele kbao, akuna jinsi ndo hvo uwe yanga ama mtibwa leo simb inakuwakilisha kule angola,kama amtaki kunyweni sumu bt ndo hvo,if u cnt win us join us.. achen kupiga kelele nje ya fensi.achen kuchonga nenden bagamoyo mjiandae na mech ya toto,sie tupo bizy tunawakilisha taifa
Nyie ndio watoto wa Msomali ninaowatafuta, sisi Africa Mashariki hatuishii, tunaenda kushindana.
Kuna maneno ya kipumbavu yanazagaa kwenye hizi redio ambazo watangazaji wa michezo ni wachaga, eti Simba Koko ndio inaiwakilisha Tanzania vizuri nje ya nchi.
Mi naomba kama kuna MWANAUME hapa JF mwenye jeuri ya kuzungumza na Mwana Mtoka Pabaya, ajitokeze anieleze ni lini Simba iliwahi kupanda ndege (kuvuka mpaka) na KOMBE?
Yanga imeshafanya hivyo mara 2. Imekwenda nje kushindana na kurudi na kombe.
ANGALIZO: Usije ukanitajia Kombe la Maulid mnaloendaga kucheza kwa kina Kakke, nitakutukana matusi ya nguoni
bila shaka unaongelea kagame cup!!na kama unaongelea kagame cup ntakuona una maradh ya akili na unaitaji tiba ya haraka,watu tunaongelea mafanikio ngazi ya bara we unaleta habari za cecafa hii ya msonye na tenga huyu anaeng'ang'ania madaraka?ni sawa na shabik wa arsenal anae jifariji na kombe la emirates alo chukua mwanzo wa msimu.
Yaani tukuoneeni wivu kwa hayo magonjwa yanayowaandama au?
Halafu shika adabu yako, UNAMWAKILISHA NANI? Ebo!
bila shaka unaongelea kagame cup!!na kama unaongelea kagame cup ntakuona una maradh ya akili na unaitaji tiba ya haraka,watu tunaongelea mafanikio ngazi ya bara we unaleta habari za cecafa hii ya msonye na tenga huyu anaeng'ang'ania madaraka?ni sawa na shabik wa arsenal anae jifariji na kombe la emirates alo chukua mwanzo wa msimu.
Kibolo?, libolo&?, liboro? au kiboro? tafadhali
hahaaa ndo hvo polen ,hope msim ujao mtajitaidi atleast na nyie muonekane nje,angarau muuze wachezaji wenu mfaidike na soka siunajua mpira ckuiz biashara,sio nyie kila cku mnanunua 2.hope na nyie mkijulikana mataifa ya nje mtauza kama kaka zenu simba.
Mimi nina maradhi, sasa wewe thibitisha akili yako kwa kunieleza Simba imechukua lipi.
CECAFA sio ZFA, na ndio maana unaona bendera za nchi mbali mbali
... Ndio maana nimesema wazee wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, na wewe unaendeleza yale yale....
Yanga imeshafanya hivyo mara 2. Imekwenda nje kushindana na kurudi na kombe.
By the way, we ulitaka CECAFA iongozwe na nani? Rage?
Si hata Rage aling'ang'ania FAT na sasa mnazozana aondoke Simba?