Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Kocha hatuna hapo... ligi za soka afrika zinaufundi wake na siasa zake simba ilipofikia sio wa kuchukua kocha wa kujakujifunzia soka la afrika kwao ilitakiwa watafute kocha mwenye cv kubwa na uzoefu na soka la afrika
 
Kamat ya usajir, benchi lote la ufundi, afisa usalama wa team, manager wa team, CEO wa team, na baadhi ya wachezaj watimuliwe tuanze kusuka team upya
 
Yaan huyu kocha hakupaswa hata kufika dar angeunganisha ndefe huko huko arud kwao, asikanyage dar hatutak kumuona...
Soma vizuri nyuki
JamiiForums352231459.jpg
 
Back
Top Bottom