lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,593
- 5,203
NGUVU MOJAAAAAYALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO.....! Imeisha hiyo , Mbio za Ubingwa palepale...!
NGUVU MOJAAAAAYALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO.....! Imeisha hiyo , Mbio za Ubingwa palepale...!
Nini! mshika kibendera anaashiria kuwa ilikuwa ni offside na kabumbu linaendelea wasikilizaji..Gooooal!!!!! Babra kasawazisha dakika ya 109
Hakuna kuwaachq wala kuwaonea huruma hawa Makolo,hawapaswi kuachiwa pumzi hata kidogoHivi tulielewana tuwafuate mpaka huku eee?.
Tunapiga kambi mpaka asubuhi na kuamkia hapa hapa mpk washike adabuHakuna kuwaachq wala kuwaonea huruma hawa Makolo,hawapaswi kuachiwa pumzi hata kidogo
kesho ndo hatuendi kazini kabisa tushinde humu tu yaaniTunapiga kambi mpaka asubuhi na kuamkia hapa hapa mpk washike adabu
Yaani hapa hatuondoki, Mikia huwa wanakelele mno.Tunapiga kambi mpaka asubuhi na kuamkia hapa hapa mpk washike adabu
Baada ya kupigwa kimoko cha nguruwe.Kocha wa kupanic kama shoga
Wamepigwa na kitu kizito kichwani.Yaani hapa hatuondoki, Mikia huwa wanakelele mno.
Chomoa mwiko huo kwanza ili upate nguvu ya kushangilia....MBELE DAIMA,MWIKO NYUMA.Mazee hamkeni tuishangilie simba yetu mechi bado ipo live
#NguvuMoja
Hahahaaaa. Lol.Hakuna kuwaachq wala kuwaonea huruma hawa Makolo,hawapaswi kuachiwa pumzi hata kidogo
Khaa. Msemaji huyo hana habari na kilichotokea 🤣🤣🤣
😂😂 Wakiongeza la ushindi nishitue Mkuu.Gooooal!!!!! Babra kasawazisha dakika ya 109
Unatufata mpaka hukuKhaa. Msemaji huyo hana habari na kilichotokea
Hahahaaa. Hasira hasara Mtani.Chomoa mwiko huo kwanza ili upate nguvu ya kushangilia....MBELE DAIMA,MWIKO NYUMA.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kama nyie mnavotufataga. 🤣Unatufata mpaka huku
Kuimba kupokezanaKama nyie mnavotufataga.