Nyumba inawaka moto huko
Hivi tulielewana tuwafuate mpaka huku eee?. 🤣🤣🤣🤣tupeane update jamani...NGUVU MOKOView attachment 2085088
agiza juisi ya fenesiHivi tulielewana tuwafuate mpaka huku eee?.
🤣🤣 kwa kweeli.agiza juisi ya fenesi
Pametulia humu unaweza pita uchi
Kwani matokeo ngapi ngapi? naona jukwaa liko kimya mno. Au mnyama ameangukia pua?Wànasimba kwema? Msisahau kubeba mchele mliopewa na Wanambeya.
Mpira ni burudani siyo ugomvi ila uwezo wenu mdogo na ufinyu wa akili katika soka ndiyo umewaponza.