Wazee hata mimi nashauri tupewe kombe tule kona zetu tu.
Tuanze kujiaandaa na mashindano ya kimataifaWazee hata mimi nashauri tupewe kombe tule kona zetu tu.
Yeah, wadau tupo kibao humu ikiwa ni pamoja na mkulu Maxence !!« Previous Thread | Next Thread »
Currently Active Users Viewing This Thread: 10 (6 members and 4 guests) Sipo, Binti Sayuni, Crashwise, Nandoa, Sinkala, Ndege ya Uchumi, smp143
hawa ni baadhi tu ya wadau wa Msimbazi
Kumbe wadau wengi sana eehYeah, wadau tupo kibao humu ikiwa ni pamoja na mkulu Maxence !!
pamoja mkuu, simba unajua ina wachezaji mbadala wengi sana, sioo kama majirani wenzetu wanategemea baadhi ya wachezajiMkuu Sipo endelea kutupa matokeo na mwenendo wa mchezo kwa ujumla. Leo nimebanwa na shughuli nimeshindwa kwenda kuwaona Wekundu wa Msimbazi wakitandaza gozi. Tupe line-up pia ikiwezekana. Nilikuwa na hofu kidogo baada ya kuambiwa mastaa wengi kama Owino, Echessa, Okwi na wengine hawapo.
Ndio nilikuwa naweka mkuu ukawa fasta zaidi, Simba inatisha wajameni. Mgosi kapiga mawili pekee yakeGoooooooooooooooooooooooooooool
Dakika ya 57 Mgosi anaandika goli la tatu
Simba 3 Prison 0
Simbaaaaaaaaaaaaaa juuuuuuuuuuuuuuuuuusimba 3 prisons 0
nI KWELI INAFURAHISHA SANA. pamoja siku zote n<aWakuu inafurahisha sana . tunashukuru sana kwa updates. tuko pamoja wakuu.