Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Nimesikitika Sanaa Jana nilikua busy na nilichoka sikuangalia mechi ila humu update ya Scars zile dk za 30's analalama tunakosa magoli ya wazi ilinifanya nilale nisiangalie update now nipo stand kwenda mishe naona shangwe Kwa Wana wa Mnyama alaaa nakimbilia kuangalia update naona maajabu Aiseeee

Zisi izi Simbaaaaaaaaaaaaaa!

Inamaaana wale jamaa walilishwa daku oversize!

😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
 
Za ndani kabisaaaaa "inasemekana kipindi cha pili kosa walilofanya ni kutumia ac za vyumbani hivyo kujikuta hawana nguvu kabisa kipindi cha pili bado tunaendelea na uchunguzi"

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sisi tunafurahia maumivu unayopata baada ya Simba Sc kutinga robo fainali, tunajua mitandaoni huko hapakaliki maana kila ukigusa ni habari za Simba Sc.

Hayo mengine hayatuhusu sisi.
 
MTU unaahirisha kula mchana halafu jioni unakula Mara mbili. Alfajiri tena unaweka menyu njaa inatoka wapi.

Sema ndugu zangu huwa tu mnabadilisha ratiba ya kula, tuache kuzugana 🤣🤣

Nasema uongo ndugu zangu!?
Jaribu nawewe kufanya hivyo
 
IMG-20220404-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom