Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,837
HAKUNA POINTI YA KUSHINDANA KATIKA SHINDANO AMBALO UNAJUA HUTASHINDA
Yaani unakuwa tu kama msindikizaji, Simba ni timu kubwa sana, yenye pride kubwa, so haiwezi kuendelea kuwa mdindikizaji kila msimu kama timu ndogo
Jamani wana Simba tuwe realistic, kwenye mashindano ya CAF Simba mwendo tumeumaliza
Ila kama tungekuwa Shirikisho kwa timu zilizopo kama Marumo Gallants, Rivers, Monastir, Asec na nyinginezo hata Simba hii mbovu ingekuwa na nafasi kubwa sana ya kutinga fainali au hata kuchukua kabisa kombe
Ila kwa Champions League hii hata tungepangwa na timu gani lazima tungetoka tu, kule ni kwa mabingwa hasa, waliowekeza haswa
Sasa kama Simba tuna ndoto za kufika hata nusu fainali ya michuano ya Afrika, achilia mbali kuchukua kombe, basi tageti yetu yafaa iwe Shirikisho
Kwa hii Simba mpya, Kombe la Shirikisho tumeshiriki mara moja na tukatolewa kwa penalti robo fainali, tungeshiriki mara 2 au 3 ungekuta tushafika nusu au hata fainali