Simba kufungiwa kushiriki mashindano ya CAF miaka miwili

Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya.
CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa

Adhabu nyingine, Simba atatakiwa kulipa faini ya dollar million 1

Mashabiki wa Simba walifanya vitendo visivyo vya kiungwana ikiwa ni pamoja na

1. Kumzomea Rais CAF Patrice Motsseppe, Kwa matusi ya nguoni, wakati wa ugawajibwa medali na kombe (ushahidi wa video)

2. Kuvamia waamuzi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na silaha pia kutoa vitisho ( ushahidi wa video)

3. Viongozi na mashabiki wa Simba kuzuia wachezaji na mashabiki wa RS Berkane Kwa saa 3 pale airport ( ushahidi wa video na picha)

4. Viongozi kuhamasisha fujo michezoni. Viongozi wa Simba walirekodiwa wakihimiza watu kupiga na ikibidi kuwauwa wasio mashabiki wa Simba (ushahidi wa video)

5. Uongozi wa Simba Kwa maksudi kupotosha kuhusu suala la kuhama uwanja. Na kusema ati ni hujuma ya CAF wakati uwanja wa New Amaan complex ulikuwa chaguonla Simba

6 wachezaji wa Simba kuongelea vibaya waamuzi

7.Viongozi wa Simba kutukana management ya CAF

Huo ubingwa mnaoandaliwa na TFF ya Karia jiandae mwakani kucheza humu hamwendi popote

Simba walikuwa wakiulizia nguvu ya cheo cha Mwenyekiti wa vilabu Africa, Sasa hapa ndo mtaiona hiyo nguvu ya Eng Hersi Said

Ubaya ubwege View attachment 3347260
Utopolo hamna akili hata kidogo.
 
Na ndio wenye tuzo ya mashabiki Bora wakiongozwa na pasi milioni Simba hanyatiwi
 
Hatushangai na upuuzi kama huu ulioandika huko Yanga hakuna mwenye akili hata mmoja mna ujuha mwingi sana
 
Tunataka reform adi cuf
 
Ukiwa yanga wewe na matumizi ya akili yanakuwa haram
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Toa huo mwiko nyuma kwanza halafu ulete chapisho!
 
Kazomewa yesu sembuse yeye
 
Hapo ikiwezekana CAF watoe maelekezo kwa Simba warudishe viingilio.

Haingii akilini CAF wanatoa taarifa rasmi mechi itachezwa Aman Stadium, halafu viongozi wa Simba wanakanusha na kuendelea kukatisha tiketi kwa ajili ya kucheza Dar huku wakijua mechi itachezwa Aman kama siyo utapeli wa wazi nini?
 
Safi sana Simba huo ndio u Simba sasa.
Siku nyingie tukiingia fainali watatuheshimu mazima.
 
Endapo hii ikiwa kweli Mwana FA nae atakuwa kahusika pakubwa kuigharimu Simba.

Ile kauli yake ilikuwa mbaya sana, sana kutoka kwa kiongozi.
Eti ikibidi iwauwe dah yanga nyie hata ya kuvukia barabara mnazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom