Simba kufungiwa kushiriki mashindano ya CAF miaka miwili

CAF wamesema watazifanyia uchunguzi kauli za viongozi wenu, hapo kuanzia Magoli, Mo na ile barua yake plus Ahmed Ally na ile kauli yake nk,sijajua kama list itaongezeka.Watu wanasema wamejuaje hawajui kuwa kuna Google na AI translator kibao, kazi yao zitakuwa kuzipima hizo kauli zao.
 
Wajaribu waone
20250526_221645.jpg
 
Nimesema malaya wa CAF hawatafanaya chochote, full stop.
Sawa mzee ila mimi nimeangalia kwenye angle nyingine kabisa. Mashabiki ni hawahwa wa timu ya taifa. Kama watu inafikia wanatishia na kuhatarisha uhai kwa sababu ya mpira inaleta ukakasi sana.

Mpira ni burudani inayoambatana na uchungu sometimes. Inabidi tujifunze uvumilivu mambo yanapoenda tofauti na matarajio.
 
Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya.
CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa

Adhabu nyingine, Simba atatakiwa kulipa faini ya dollar million 1

Mashabiki wa Simba walifanya vitendo visivyo vya kiungwana ikiwa ni pamoja na

1. Kumzomea Rais CAF Patrice Motsseppe, Kwa matusi ya nguoni, wakati wa ugawajibwa medali na kombe (ushahidi wa video)

2. Kuvamia waamuzi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na silaha pia kutoa vitisho ( ushahidi wa video)

3. Viongozi na mashabiki wa Simba kuzuia wachezaji na mashabiki wa RS Berkane Kwa saa 3 pale airport ( ushahidi wa video na picha)

4. Viongozi kuhamasisha fujo michezoni. Viongozi wa Simba walirekodiwa wakihimiza watu kupiga na ikibidi kuwauwa wasio mashabiki wa Simba (ushahidi wa video)

5. Uongozi wa Simba Kwa maksudi kupotosha kuhusu suala la kuhama uwanja. Na kusema ati ni hujuma ya CAF wakati uwanja wa New Amaan complex ulikuwa chaguonla Simba

6 wachezaji wa Simba kuongelea vibaya waamuzi

7.Viongozi wa Simba kutukana management ya CAF

Huo ubingwa mnaoandaliwa na TFF ya Karia jiandae mwakani kucheza humu hamwendi popote

Simba walikuwa wakiulizia nguvu ya cheo cha Mwenyekiti wa vilabu Africa, Sasa hapa ndo mtaiona hiyo nguvu ya Eng Hersi Said

Ubaya ubwege View attachment 3347260
hii ndo kazi hersi imempeleka kule kafu
 
Kuna mazombi wengi
 
Endapo hii ikiwa kweli Mwana FA nae atakuwa kahusika pakubwa kuigharimu Simba.

Ile kauli yake ilikuwa mbaya sana, sana kutoka kwa kiongozi.
Anastahili kufungiwa kabisa kuingia uwanjani, Alishindwa kuzuia mihemko na ushabiki na hii dalili mbaya sana kwa kiongozi.
 
Back
Top Bottom