Simba kufungiwa kushiriki mashindano ya CAF miaka miwili

Wajaribu waone
1748246526091.jpg

Kwamba simba ndio CAF.... Wazee bana... Wewe kwa umri wako ulipaswa kukemea upuuzi huu wa simba ....nakufananisha na WASSIRA WA CCM😂
 
Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya.
CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa

Adhabu nyingine, Simba atatakiwa kulipa faini ya dollar million 1

Mashabiki wa Simba walifanya vitendo visivyo vya kiungwana ikiwa ni pamoja na

1. Kumzomea Rais CAF Patrice Motsseppe, Kwa matusi ya nguoni, wakati wa ugawajibwa medali na kombe (ushahidi wa video)

2. Kuvamia waamuzi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na silaha pia kutoa vitisho ( ushahidi wa video)

3. Viongozi na mashabiki wa Simba kuzuia wachezaji na mashabiki wa RS Berkane Kwa saa 3 pale airport ( ushahidi wa video na picha)

4. Viongozi kuhamasisha fujo michezoni. Viongozi wa Simba walirekodiwa wakihimiza watu kupiga na ikibidi kuwauwa wasio mashabiki wa Simba (ushahidi wa video)

5. Uongozi wa Simba Kwa maksudi kupotosha kuhusu suala la kuhama uwanja. Na kusema ati ni hujuma ya CAF wakati uwanja wa New Amaan complex ulikuwa chaguonla Simba

6 wachezaji wa Simba kuongelea vibaya waamuzi

7.Viongozi wa Simba kutukana management ya CAF

Huo ubingwa mnaoandaliwa na TFF ya Karia jiandae mwakani kucheza humu hamwendi popote

Simba walikuwa wakiulizia nguvu ya cheo cha Mwenyekiti wa vilabu Africa, Sasa hapa ndo mtaiona hiyo nguvu ya Eng Hersi Said

Ubaya ubwege View attachment 3347260
Yanga MnaHangaika Saana
 
Michache
 
Endapo hii ikiwa kweli Mwana FA nae atakuwa kahusika pakubwa kuigharimu Simba.

Ile kauli yake ilikuwa mbaya sana, sana kutoka kwa kiongozi.
Tuhuma nzito kutolewa na kiongozi kama yeye, ila upande mwingine unaweza kumuelewa football ina emotions nzito sana pengine zilimzidia kiasi fulani kama mwanadamu
 
Utopolo kwenye mechi za kimaitaifa ni sawa na Azam au JKT.
Wanaomba ili iwe hivyo kwenye misimu miwili ya kuishia kwenye makundi watakuwa wamefyeka kichaka chao na watakuwa wamefanya gusa achia twende nyumbani.
Timu ya ovyo sana ya kutumia miaka 25 Kuingia kwenye makundi ya CAF champion ila angalia hiyo miaka 25 Utopolo kafanya vizuri sana
 
Mashindano yenye mfumo huu wa sasa ulianzishwa 1998, mwaka huo huo Uto aliingia makundi, tena wakati huo timu zilikua 8 tu, si 16 kama sasa.
Tuambie Dunduka lilitumia miaka mingapi kufuzu makundi yaliyorahisishwa hivi?.
Acha tu wajukuu wa mzee MOI waendelee kutudharau, kwa laana aliyoitoa RAGE.
 
Acha kujifariji mwakakikundi
Ile sheria ya ukitolewa Champion league unaenda shirikisho mlilaani sana.
Ingekuwepo sasa hivi mngekuwa shirikisho, nasikia mnagomea mechi ya Darby ili mkacheze shirikisho. Hapo unafuta uwe mshindi wa 3 maana Uto mechi anazoweza ni kucheza na Kengold na Dodoma jiji maana hizi mechi rahisi sana.
 
Makolokolo Mwandamizi Kungwi akiwa kakaza fuvu
Screenshot_2025-05-29-03-59-07-06_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
😁
 
Adhabu inaanza lini?Tabu ya kutobalehe ubongo.Jitu unaliona likubwa kwa mwili lakini akili kisoda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom