Mributz
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 297
- 658
#MICHEZO: Klabu ya Simba SC imefanikiwa kupata ridhaa ya mashabiki kuruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya 15 de Agosto, utakaopigwa Oktoba 21, 2026, katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Kupitia taarifa yake, Simba imeeleza kuwa mafanikio hayo yamepatikana baada ya mazungumzo ya kina kati ya viongozi wa klabu hiyo na wenzao wa 15 de Agosto, ambao hatimaye wamekubali ombi la kuruhusu mashabiki kuhudhuria mchezo huo.
Uongozi wa Simba umesisitiza kuwa umefanya juhudi hizo kwa kutambua umuhimu wa mashabiki katika soka, ukiwaelezea kama sehemu muhimu ya mafanikio ya timu na nguvu inayowapa wachezaji hamasa ya kupambana uwanjani.
"Katika kuwapa thamani mashabiki wetu mechi hiyo itaoneshwa kwenye Tv kubwa (Big Screen) katika maeneo ya Mwembeyanga na Mbagala Zakheim."