Simba kufungiwa kushiriki mashindano ya CAF miaka miwili

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya.
CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa

Adhabu nyingine, Simba atatakiwa kulipa faini ya dollar million 1

Mashabiki wa Simba walifanya vitendo visivyo vya kiungwana ikiwa ni pamoja na

1. Kumzomea Rais CAF Patrice Motsseppe, Kwa matusi ya nguoni, wakati wa ugawajibwa medali na kombe (ushahidi wa video)

2. Kuvamia waamuzi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na silaha pia kutoa vitisho ( ushahidi wa video)

3. Viongozi na mashabiki wa Simba kuzuia wachezaji na mashabiki wa RS Berkane Kwa saa 3 pale airport ( ushahidi wa video na picha)

4. Viongozi kuhamasisha fujo michezoni. Viongozi wa Simba walirekodiwa wakihimiza watu kupiga na ikibidi kuwauwa wasio mashabiki wa Simba (ushahidi wa video)

5. Uongozi wa Simba Kwa maksudi kupotosha kuhusu suala la kuhama uwanja. Na kusema ati ni hujuma ya CAF wakati uwanja wa New Amaan complex ulikuwa chaguonla Simba

6 wachezaji wa Simba kuongelea vibaya waamuzi

7.Viongozi wa Simba kutukana management ya CAF

Huo ubingwa mnaoandaliwa na TFF ya Karia jiandae mwakani kucheza humu hamwendi popote

Simba walikuwa wakiulizia nguvu ya cheo cha Mwenyekiti wa vilabu Africa, Sasa hapa ndo mtaiona hiyo nguvu ya Eng Hersi Said

Ubaya ubwege
Screenshot_20250527-084815.png
 
Ubaya ubwege View attachment 3347260
Wajaribu waone
 
Nilijua ni analysis ya kisomi kumbe unaandikia ushabiki! In short umepuyanga sana.
 
Simba ndio waliotangaza kuwa Tanzania inafaa kuandaa fainali za kimataifa. Lakini ndio haohao wameionyesha dunia kama Tz sio sehemu salama
Huwa wanatangaza na kubadilisha mkishindwa wanapeleka Rwanda
 
Back
Top Bottom