Simba kapakatwa

Simba kapakatwa

1463590234610.jpg
 
MUNGU awabariki manake mi naondoka mjini ntarudi mwakani, Yanga mmeingia makundi sintapumua ni sheeder kila kona, hongereni.
 
Baada ya kelele nyingi msimu huu......Week end tena mnapakatwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Yanga leo nimewaona vi...la..za sana yaan mnafungwa na watu wapo pungufu uwanjani? Km meshindwa kuifunga leo. Msahau kuifunga tena mnyama SIMBA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom