Simba kapakatwa

Simba kapakatwa

Yanga leo nimewaona vi...la..za sana yaan mnafungwa na watu wapo pungufu uwanjani? Km meshindwa kuifunga leo. Msahau kuifunga tena mnyama SIMBA
Aisee ni kweli
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
fb7cc656808f9bbf1897b1e34c51ee62.jpg
cc Sembo
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Ninatabiri, Simba itamaliza mshindi wa tatu, nyuma ya Yanga na Azam kwenye msimu huu wa 2016/17.
 
Wapi Masau Bwire, ashushe maneno yake good good!!

Mo ajue Bwire haitaji pikipiki kama yule Kigwa
 
Daah aisee inauma sana simba 2meshikwa tena makaghali na watoto
 
Simba kapakatwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom