ya kulazimisha hii
Mh! Inatosha jamani mnajua mtaua humu bila kukusudia. Kuteleza sio kuanguka msikabe mpaka koo jamaniii.
Ukiona adui yako kanyoosha mikono juu weka bunduki chini ina maana kasalimu amri sasa mnatupiga na risasi na mawe!!!!!!
Acha tu hapa tumeshakoma na kukomaa tunasubiri kukauka tu yaani hatuna tofauti na panya wawili wanaokimbizwa na paka kumiKutesa kwa zamu
Mtakoma