Hiii ndio Simba , ninayoijua

Hiii ndio Simba , ninayoijua

Mimi ni Simba ila nikikumbuka ya Oct 29 na jinsi hizi timu mbili za Simba na Utopolo zilivyotumiaka na zinavyoendelea kutumika na wauaji kuwahadaa na kkwapumbaza Watanganyika....daaaa...basi tuu

All in all ....... Simba nguvu moja
 
Back
Top Bottom