Hawa ndiyo marefa wetu wanaochezesha kwenye ligi inayoshika nafasi ya sita kwa ubora?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,740
Upuuzi mtupu mechi ya Kagera na Yanga Sc Kuna goli limefungwa la hakuna offside kabisa lakini Refa wa penbeni kainua bendera na kusema offside.

Maoni Yangu : kwa mfumo huu wa marefa mpira wetu kukua ni kujidanganya tu na ndiyo maana mabingwa wanabaki Simba sc na Yanga Sc kwa sababu marefa wanachezesha kwa mapenzi ya timu mbili.

Kwa mfumo huu tusitegemee kuona marefa wetu kuchezesha hata michezo ya kombe la mbuzi lililo andaliwa na CAF.
 
Mumushaanza kupiga mayowe
FB_IMG_1705064420337.jpg
 
Upuuzi mtupu mechi ya Kagera na Yanga Sc Kuna goli limefungwa la hakuna offside kabisa lakini Refa wa penbeni kainua bendera na kusema offside.

Maoni Yangu : kwa mfumo huu wa marefa mpira wetu kukua ni kujidanganya tu na ndiyo maana mabingwa wanabaki Simba sc na Yanga Sc kwa sababu marefa wanachezesha kwa mapenzi ya timu mbili.

Kwa mfumo huu tusitegemee kuona marefa wetu kuchezesha hata michezo ya kombe la mbuzi lililo andaliwa na CAF.
Unadhani kwanini imetambulishwa teknolojia ya VAR? ni kwasababu hata huko huko ulaya marefa wanashindwa kuona matukio kwa usahihi? Sasa hao marefa wa Tanzania wao ni maroboti?
 
Kadi nyekundu aliyokuwa anastahili Sadio Mane AFCON 2024 nchini Ivory Coast palikuwa hakuna VAR?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Upuuzi mtupu mechi ya Kagera na Yanga Sc Kuna goli limefungwa la hakuna offside kabisa lakini Refa wa penbeni kainua bendera na kusema offside.

Maoni Yangu : kwa mfumo huu wa marefa mpira wetu kukua ni kujidanganya tu na ndiyo maana mabingwa wanabaki Simba sc na Yanga Sc kwa sababu marefa wanachezesha kwa mapenzi ya timu mbili.

Kwa mfumo huu tusitegemee kuona marefa wetu kuchezesha hata michezo ya kombe la mbuzi lililo andaliwa na CAF.
Nani alifunga ?
 
Unadhani kwanini imetambulishwa teknolojia ya VAR? ni kwasababu hata huko huko ulaya marefa wanashindwa kuona matukio kwa usahihi? Sasa hao marefa wa Tanzania wao ni maroboti?
Bora wangekuwa ni maroboti bali ni vilaza. Kila mara wanakosea halafu unatetea upuuzi. Matukio ni mengi sana ya maamuzi mabovu ambayo yanathibitisha kabisa hawa waamuzi huwa wanaziogopa simba na yanga. Goli la kagera lingefungwa na yanga kamwe lisingekataliwa.
 
Sio kweli Yanga washa wahi nyimwa magoli mengi tu halali kifupi ni kwamba hatuna waamuzi
 
Bora wangekuwa ni maroboti bali ni vilaza. Kila mara wanakosea halafu unatetea upuuzi. Matukio ni mengi sana ya maamuzi mabovu ambayo yanathibitisha kabisa hawa waamuzi huwa wanaziogopa simba na yanga. Goli la kagera lingefungwa na yanga kamwe lisingekataliwa.
Unaweza kuniambia ni marefa wangapi duniani ambao wapo perfect hawafanyi makosa? Kama kusingekuwa na makosa kwa marefa kusingekuwa na msaada wa VAR.
 
Uliona lini refa wa kibongo akifanya kosa kubwa kama kuruhusu goli kwa kuionea yanga au simba dhidi ya timu ndogo? Ili ionekane ni bahati mbaya ilitakiwa timu ndogo pia zifaidike na hayo maamuzi mabovu dhidi ya simba au yanga lakini ni nadra sana kuona hiyo.

Halafu kuanzishwa kwa VAR haimaanishi dunia nzima marefa wanafanana viwango. Marefa wa hovyo wapo hata kama kufanya makosa ni ubinadamu na ndio maana hao unaowatetea huwezi kuwaona kwenye mashindano makubwa ya CAF au FIFA.
 
Mwenyekiti wa kamati ya waamuzi ndio.anaongoza kuwatetea kuwa makosa ya kibinadamu, anadiriki Hadi kuwaombea msamaha waamuzi waliofungiwa
 
Uliona lini refa wa kibongo akifanya kosa kubwa kama kuruhusu goli kwa kuionea yanga au simba dhidi ya timu ndogo? Ili ionekane ni bahati mbaya ilitakiwa timu ndogo pia zifaidike na hayo maamuzi mabovu dhidi ya simba au yanga lakini ni nadra sana kuona hiyo.

Halafu kuanzishwa kwa VAR haimaanishi dunia nzima marefa wanafanana viwango. Marefa wa hovyo wapo hata kama kufanya makosa ni ubinadamu na ndio maana hao unaowatetea huwezi kuwaona kwenye mashindano makubwa ya CAF au FIFA.
Katika kufatilia kwako soka la Tanzania hukuwahi kuona Simba au Yanga wakifunga magoli dhidi ya timu ndogo kisha yakakatsliwa kwa offside?
 
Nimekuambia ni nadra ila wao kufaidika na maamuzi mabovu ni mara nyingi , huo ndiko ukweli.
 
Back
Top Bottom