Kanuni zinasema klabu isipopoleka timu kiwanjani inaadhibiwa lakini mpaka sasa Yanga hawajaadhibiwa whichi means walikuwa sahihi kutopeleka timu kiwanjani. Kwa mantiki hii, wao wanachukulia kwamba tayari wameishacheza huu mchezo kwa kuwa hawajapewa adhabu yoyote. Na hata wasipopeleka timu kiwanjani tarehe 3/7 hakutakuwa na shida yoyote kwa upande wao kwa kuwa TFF walivunja kanuni wao wenyewe.Naomba nisaidie kujua kanuni zinasemaje kuhusu athari za tukopeleka timu uwanjani?
Nani anapata athari chanya na nani anapata athari hasi kati ya aliyepeleka timu na asiyepeleka timu?
Nawasilisha
Kwanza kabisa kanuni inasema muda wa kubadilisha muda wa kuanza.mchezo atleast ile masaa 24, na body ya ligi ilibadilisha muda kutoka saa 11 jioni mpaka saa moja nje ya wakati yaani saa nane mchana ndiyo wakabadilisha mechi, inamaana masaa 3 tu na kanuni inasema.kiwangu kifupi ni masaa 24.Naomba nisaidie kujua kanuni zinasemaje kuhusu athari za tukopeleka timu uwanjani?
Nani anapata athari chanya na nani anapata athari hasi kati ya aliyepeleka timu na asiyepeleka timu?
Nawasilisha
Hapo nimekuelewa vizuri sana mkuu. Lakini Simba walishindwa kupeleka timu baada ya Yanga kuondoka kiwanjani. Wangepeleka timu icheze na nani wakati Yanga wameishasepa kitambo? Na pia hapakuwepo na marefa wa kuchezesha mchezo.Kwanza kabisa kanuni inasema muda wa kubadilisha muda wa kuanza.mchezo atleast ile masaa 24, na body ya ligi ilibadilisha muda kutoka saa 11 jioni mpaka saa moja nje ya wakati yaani saa nane mchana ndiyo wakabadilisha mechi, inamaana masaa 3 tu na kanuni inasema.kiwangu kifupi ni masaa 24...
Asante.Kanuni zinasema klabu isipopoleka timu kiwanjani inaadhibiwa lakini mpaka sasa Yanga hawajaadhibiwa whichi means walikuwa sahihi kutopeleka timu kiwanjani. Kwa mantiki hii, wao wanachukulia kwamba tayari wameishacheza huu mchezo kwa kuwa hawajapewa adhabu yoyote...
Uongozi wa yanga kwa maana ya Mzee mpili?Uongozi wa Yanga wameishakataa kata kata ( kupitia kwa msemaji wao) kupeleka timu kiwanjani. Wewe unaishi duniani gani mkuu?
Ndio maana yake mkuu. Ili ushindi uwe VALID lazima mshindi acheze mechi zote; vinginevyo huo ushindi utakuwa BATILI. Kama TFF watarogwa wakatoa kombe kwa Simba (hata kama watakuwa na pointi nyingi), Yanga watawashikisha adabu ambayo hawatakuja kuisahau hapa duniani.Asante.
Naomba pia ufafanuzi hapo kwenye kucheza mechi 38. Kwa Mfano timu ikacheza mechi 37, alafu mechi moja mpinzani wake akashindwa kutokea uwanjani. Una maana kuwa hiyo timu iliyocheza michezo 37 na ikawa na points nyingi kuliko timu zote haitakua bingwa kwa kushindwa kucheza mechi 38 ? Hivi ndivyo ulivyotafsiri kanuni hiyo?
Duh! Hivi Haji Mfikilwa ni nani pale yanga na alisemaje kuhusu hiyo machi ya tarehe 3?Kanuni zinasema klabu isipopoleka timu kiwanjani inaadhibiwa lakini mpaka sasa Yanga hawajaadhibiwa whichi means walikuwa sahihi kutopeleka timu kiwanjani. Kwa mantiki hii, wao wanachukulia kwamba tayari wameishacheza huu mchezo kwa kuwa hawajapewa adhabu yoyote...