Simba haikugomea kucheza mechi na Yanga

Simba haikugomea kucheza mechi na Yanga

Hoja yangu sio timu kwenda uwanjani bali umeona bodi ya ligi Misri au chama cha soka Misri kiitisha kikao cha dharura kujadiliana? Si umeona wametulia tuli na kuacha taratibu zote za mechi ziendelee kisha wao watadili na kanuni tu
ni sawa kabisa kwa maamuzi ya bodi ya misri ila tofauti huku kwetu issue iliyotokea ilikuwa kama ugomvi hvyo kuhatarisha usalama wa mashabiki cku ya mechi nd mana wakaona heri kuahirisha kuliko madhara ya fujo yatakayotokea,,ila misri ilikuwa ishu ya makubaliano tu na bodi ya lig kuhusu waamuzi bas haikuwahusisha zamalek. Tz ilikuwa ugomvi wa vilabu vyenyew simba na yanga nd mana ikaleta hofu ya usalama
 
Sasa fanyeni hivi chezeni na timu mnazo penda CEO wenu alisema hamtacheza mechi nmeshangaa juzi mmecheza
umekosea alisema hatua zisipochukuliwa hatuendelei na mechi za ligi kuu msimu huu ila hatua zmechukuliwa nd maana tulicheza na singda
 
Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu.

Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi na bodi yenyewe inavyoendeshwa.

Bila ya kujua bodi ya ligi inaendeshaje ligi na yenyewe inaendeshwaje mwisho wa siku itaishia kutoa lawama kwa wasiohusika.

Bodi ya ligi ndiyo inayoendesha ligi, sioni watu wakijadili kanuni zinazobishaniwa hutungwaje na hutumikaje na kama timu hairidhiki na jambo lolote kwenye msimu husika hutakiwa ifanye nini.

Simba ilifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi yake na Yanga siku inayofuatia. Lakini yakatokea yaliyotokea ambayo kila mtu anayajua.

Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby

Simba ikaandika barua Kwa bodi ya ligi kutoa malalamiko ya walichofanyiwa na kusema kuwa kama bodi ya ligi haitachukua hatua basi wenyewe hawatahusika na mechi hiyo.

Bodi ya ligi hatua yao ingekuwa kuamuru mechi ichezwe bila ya mashabiki tatizo lingekuwa wapi?

Lakini kwa maelezo ya bodi walipokutana wakajikuta hawana vielelezo na taarifa za kutosha kufanya maamuzi hivyo kuamua kuahirisha mechi.

Sasa wanaosema kuwa Simba iligomea mechi yake na Yanga hoja yao wanaijenga Juu ya msingi upi?

Maana ili Simba iwe imegomea mechi ni Lazima kwanza bodi ya ligi iseme mechi itakuwepo halafu Simba isifike uwanjani.

Bodi ya ligi Kwa taarifa rasmi walisema hakuna mechi, Sasa Simba ingepeleka timu uwanjani kucheza mechi gani wakati wenye dhamana ya kuendesha ligi walisema kuwa mechi husika imeahirishwa?

Ili isemwe kuwa Simba iligomea mechi ni Lazima kwanza hiyo mechi ingekuwa haijaahirishwa na bodi ya ligi.
Waza hili halafu uje ujijibu mwenyewe.
Hivi kama Simba wasingeandika barua ya kusema hawataleta timu uwanjani, je bado bodi ya ligi wangetangaza mechi haitachezwa?
 
Natamani ungekuwa karibu nikukande ngumi utapike daku uliyokula usiku!
Mchezo wa mpira unaanza rasmi kikao cha wanahabari siku moja kabla ya mechi kwa muda uliowekwa na kanuni.
Hivyo hata mazoezi kwa timu ngeni muda utakaochezwa mechi kesho yake zote ni taratibu za hiyo mechi.
Sasa mwenyeji kaleta vibaka wake wanaharibu taratibu za mchezo na Simba katoa tahadhari kuwa jambo hilo lisiposhughulikiwa hawataleta timu uwanjani (kusudio) maana usalama ni mdogo kwa wote. Imagine Wapenzi wa Simba wakijua kuwa wachezaji wao walifanyiwa fujo kutakuwa na usalama uwanjani au vita?
Bodi kwa vile wana akili kuliko hao viongozi wa Yanga wakaahidi uchunguzi wa kina ufanyike.
Sasa mpira utachezwa na faini lazima Yanga atwangwe kwa kushirikisha wahuni.
Tutajie iyo kanuni waliyotumia bodi ya ligi kuahirisha ile mechi? Hapa tunaongelea kanuni atuongelei maneno ya kwenye kahawa unayoleta hapa,,tueleze ni kanuni ipi ambayo bodi walisimama nayo kuahirisha ile mechi
 
Waza hili halafu uje ujijibu mwenyewe.
Hivi kama Simba wasingeandika barua ya kusema hawataleta timu uwanjani, je bado bodi ya ligi wangetangaza mechi haitachezwa?
Hakuna mahali Simba walisema hawatapeleka timu uwanjani. Ila hawatahuska na mchezo halafu pia hakuna mahali Simba walisema mechi iahirishwe.

Wa kulaumiwa ni bodi ya ligi na siyo simba
 
Kama una akili timamu,mtu akikutishia "nitakuua" automatically amekuua!
Watu na akili zao bhana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Iyo barua yenu ndio kichinjio chenu,,inachukuliwa kama reference kwenye kesi husika,,izo habari za eti tulitishia tu Unapokuwa mahakamani akuna mambo ya ''Nilitishia tu'' kielelezo icho na muda mliotoa statement vinawahukumu kwamba mlidhamilia kutenda kosa na sio vinginevyo!
 
Tutajie iyo kanuni waliyotumia bodi ya ligi kuahirisha ile mechi? Hapa tunaongelea kanuni atuongelei maneno ya kwenye kahawa unayoleta hapa,,tueleze ni kanuni ipi ambayo bodi walisimama nayo kuahirisha ile mechi
Nendeni CAS acheni mbwembwe ili mkapigwe mweleka mapeeeema kama ilivyo kawaida yenu.
 
Hakuna mahali Simba walisema hawatapeleka timu uwanjani. Ila hawatahuska na mchezo halafu pia hakuna mahali Simba walisema mechi iahirishwe.

Wa kulaumiwa ni bodi ya ligi na siyo simba
Kasome para ya mwisho kwenye barua ya Simba walisema nanukuu''Atutohusika na mchezo wa kesho''
Nini maana ya neno 'atutohusika'?
 
redio Simba ndiyo imeahirisha mechi? Maana watu wanaojua mpira hawawezi hata kidogo kuilaumu Simba kwa sakata la mechi husika kutochezwa.
Huyu ni wewe au kuna mtu anatumia account yako? Tufanye hivi mwanafunzi aliyejiandaa vyema kwa mitihani yake ya mwisho usiku wa kuamkia mitihani umeme ukakatika anaweza asifanye mitihani kisa kukatika kwa umeme??
 
Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu.

Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi na bodi yenyewe inavyoendeshwa.

Bila ya kujua bodi ya ligi inaendeshaje ligi na yenyewe inaendeshwaje mwisho wa siku itaishia kutoa lawama kwa wasiohusika.

Bodi ya ligi ndiyo inayoendesha ligi, sioni watu wakijadili kanuni zinazobishaniwa hutungwaje na hutumikaje na kama timu hairidhiki na jambo lolote kwenye msimu husika hutakiwa ifanye nini.

Simba ilifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi yake na Yanga siku inayofuatia. Lakini yakatokea yaliyotokea ambayo kila mtu anayajua.

Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby

Simba ikaandika barua Kwa bodi ya ligi kutoa malalamiko ya walichofanyiwa na kusema kuwa kama bodi ya ligi haitachukua hatua basi wenyewe hawatahusika na mechi hiyo.

Bodi ya ligi hatua yao ingekuwa kuamuru mechi ichezwe bila ya mashabiki tatizo lingekuwa wapi?

Lakini kwa maelezo ya bodi walipokutana wakajikuta hawana vielelezo na taarifa za kutosha kufanya maamuzi hivyo kuamua kuahirisha mechi.

Sasa wanaosema kuwa Simba iligomea mechi yake na Yanga hoja yao wanaijenga Juu ya msingi upi?

Maana ili Simba iwe imegomea mechi ni Lazima kwanza bodi ya ligi iseme mechi itakuwepo halafu Simba isifike uwanjani.

Bodi ya ligi Kwa taarifa rasmi walisema hakuna mechi, Sasa Simba ingepeleka timu uwanjani kucheza mechi gani wakati wenye dhamana ya kuendesha ligi walisema kuwa mechi husika imeahirishwa?

Ili isemwe kuwa Simba iligomea mechi ni Lazima kwanza hiyo mechi ingekuwa haijaahirishwa na bodi ya ligi.
Mkuu wewe ni mwanasheria nguli. Hebu toa tafasiri ya aya ya mwisho kwenye barua hii ya Simba. Baada ya hapo tueleze hiyo aya ni kwa mjibu wa Kanuni ipi na barua hiyo na hasa aya ya mwisho ina maana gani kwako.

Baada ya hapo tueleze kama Kuna Kanuni inaruhusu timu kugomea mchezo kwa sababu yoyote Ile. Na kama tunakubali kuwa kwenye barua hiyo Simba walitoa malalamiko na Bodi ya Ligi wakayaona na wakaitumia barua hiyo na malalamiko hayo kuahirisha mchezo. Kwanini Simba hamtaki kukubali kuwa kwenye barua hiyo hiyo pamoja na malalamiko hayo lakini Simba hasusani kwenye aya ya mwisho waligoma kucheza mchezo.
Kwanini Bodi ya Ligi wamechagua sehemu kwenye barua ya Simba na wakaacha sehemu nyingine. Je kwa mjibu wa Kanuni malalamiko yanashughulikiwaje na swala la timu kugomea mchezo linashughulikiwaje.
I humbly Submit ndugu Wakili Msomi🙏🙏🙏🙏
 
Attachments

  • 20250308_015441.jpg
    20250308_015441.jpg
    147.7 KB · Views: 16

Hawezi kujibu
 
....lakini Simba hasusani kwenye Aya ya mwisho waligoma kucheza mchezo ule...
Kwanza Mimi siyo mwanasheria ingawa ni "bush lawyer at the kangaroo courts"

Kwanza hii hoja ya Simba"kugomea" mechi ili iwe na sifa ya kujisimamia ni lazima kwanza mambo haya mawili yatokee.

1. Kwanza mechi kati yake na Yanga iwe inatakiwa kuchezwa chini ya usamamizi wa bodi ya ligi.

2. Timu ya Yanga pamoja na maafisa wanaotakiwa kuwepo uwanjani wawepo halafu Simba isije uwanjani.

Sasa hayo mambo yote mawili hayajatokea. Kisheria ili useme Simba iligomea mechi ni lazima kwanza mechi yenyewe iwepo.

Sheria hushughulika na tendo na siyo kusudio la kutenda jambo. Huwezi kumakamata mtu kwa kusema anakwenda kuiba na ukawa na nguvu ya kumshitaki hata kama una mashahidi Elfu waliomsikia akisema atakwenda kuiba.
 
Kwanza Mimi siyo mwanasheria ingawa ni "bush lawyer at the kangaroo courts"

Kwanza hii hoja ya Simba"kugomea" mechi ili na sifa ya kuisimamia ni lazima kwanza mambo haya mawili yatokee.

1. Kwanza mechi kati yake na Yanga iwe inatakiwa kuchezwa chini ya usamamizi wa bodi ya ligi.

2. Timu ya Yanga pamoja na maafisa wanaotakiwa kuwepo uwanjani wawepo halafu Simba isije uwanjani.

Sasa hayo mambo yote mawili hayajatokea. Kisheria ili useme Simba iligomea mechi ni lazima kwanza mechi yenyewe iwepo.

Sheria hushughulika na tendo na siyo kusudio la kutenda jambo. Huwezi kumakamata mtu kwa kusema anakwenda kuiba na ukawa na nguvu ya kumshitaki hata kama una mashahidi Elfu waliomsikia akisema atakwenda kuiba.

Mkuu, unakubali kuwa Simba ni Taasisi, na kama ni Taasisi unakubali kuwa taarifa hiyo ni official Communication, kama ni Official Communication kwanini mnalazimisha kuwa Ili Simba wagome ni pale ambalo Simba hawakuleta timu uwanjani, wakati management expressively wametoa statement kuwa hawachezi hiyo Mechi. Je unataka kusema kuwa Walichoandika Simba hawakuwa wanamanisha. Kama ndivyo, kwanini Bodi ya Ligi wali Act kwenye taarifa ambayo Simba hawakuwa wanamanisha.

Kama walikuwa wanamanisha, na barua hiyo ni official Communication, kwanini Bodi ya Ligi wamechagua kudeal na kipengele cha malalamiko tu, ila kipengele cha Simba kugoma kucheza Mechi wamekiacha.
Simba walilalamika kweli, lakini pia wakati huo huo wakagoma kucheza Mechi. Je Kanuni zinasemaje kwenye mambo hayo mawili. Yanashughulikiwaje kwa mjibu wa Kanuni Wakili Msomi
 
Back
Top Bottom