Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Ulitaka colored sio?Una akili timamu unaleta gazette la black and white kama evidence?
Ulitaka colored sio?Una akili timamu unaleta gazette la black and white kama evidence?
Nanikakwambia mambo yetu yanaenda na kanuni kanuni zinategemea zinamhusu nani. Tunavyopiga kelele kuhusu simba na yanga kelele hizohizo zinesikika kwenye mambo mengine na muhimu ya nchi hii wala huko tusingefika lakini kwa kuwa tumekubali kuwa wanafiki na bado tutaloloma sana unaweza usikubaliane na mimi kwa hiari yakoKanuni ipi inasema ukinyimwa kufanya mazoezi ya mwisho ugomee kucheza?