Simba haikugomea kucheza mechi na Yanga

Simba haikugomea kucheza mechi na Yanga

Mkuu, unakubali kuwa Simba ni Taasisi, na kama ni Taasisi unakubali kuwa taarifa hiyo ni official Communication, kama ni Official Communication kwanini mnalazimisha kuwa Ili Simba wagome ni pale ambalo Simba hawakuleta timu uwanjani, wakati management expressively wametoa statement kuwa hawachezi hiyo Mechi. Je unataka kusema kuwa Walichoandika Simba hawakuwa wanamanisha. Kama ndivyo, kwanini Bodi ya Ligi wali Act kwenye taarifa ambayo Simba hawakuwa wanamanisha.

Kama walikuwa wanamanisha, na barua hiyo ni official Communication, kwanini Bodi ya Ligi wamechagua kudeal na kipengele cha malalamiko tu, ila kipengele cha Simba kugoma kucheza Mechi wamekiacha.
Simba walilalamika kweli, lakini pia wakati huo huo wakagoma kucheza Mechi. Je Kanuni zinasemaje kwenye mambo hayo mawili. Yanashughulikiwaje kwa mjibu wa Kanuni Wakili Msomi
Ufafanuzi wa barua ya simba ulisemaje? Kwamba hatutacheza mpaka hatua stahiki dhidi ya makomandoo na mtunza makomandoo wameadhibiwa je mpaka sasa wameadhibiwa?
 
Huo ufafanuzi umeandikwa kwenye barua ya peke yako? Hakuna sehemu waliposema hivyo. Kama ipo ilete na upapigie mstari.
 
The Pope na Allen Kilewella mje mtoe ufafanuzi hapa
 
Kanuni Ipi inaelekeza kuwa timu inaweza kugomea mechi kwa sababu yoyote Ile, kwa mjibu wa Kanuni wipaswa kufanyaje baada ya changamoto hizo, je ndicho walichofanya?
 
Nimeshamjibu Umtama Mula kuwa bodi ya ligi walitakiwa waseme "pamoja na malalamiko ya Simba , lakini mechi ipo pale pale" lakini bodi yenyewe ikaamua kuiahirisha mechi.

Sasa kama mechi iliahirishwa unawezaje kusema kuwa Simba iligomea?

Ukweli ni kuwa Simba walisema "hawatahusika" na mchezo. Sasa kuhusika kivipi na waliposema "haki zimehifadhiwa" au kwa kiingereza "all rights reserved" walikuwa wanalenga kumaanisha nini?

Lawama zielekezeni Kwa bodi ya ligi na si kwa timu ya Simba.
 
Kati ya barua ya Simba ya Bodi ipi ilianza. Bodi kuahirisha mchezo kwani kunafuta barua ya Simba ya kugomea mechi. Kwa ufupi Bodi waliahirisha hewa. Huwezi ahirisha mechi ambayo haipo. Mechi ilikoma kuwepo pale Simba wapotoa taarifa rasmi. Ili mchezo uwepo lazima kuwepo na pande mbili. Bodi waliahirisha mechi ambayo ilikuwa imebaki na upande mmoja.
 
Natamani ungekuwa karibu nikukande ngumi utapike daku uliyokula usiku!
Mchezo wa mpira unaanza rasmi kikao cha wanahabari siku moja kabla ya mechi kwa muda uliowekwa na kanuni.
Hivyo hata mazoezi kwa timu ngeni muda utakaochezwa mechi kesho yake zote ni taratibu za hiyo mechi.
Sasa mwenyeji kaleta vibaka wake wanaharibu taratibu za mchezo na Simba katoa tahadhari kuwa jambo hilo lisiposhughulikiwa hawataleta timu uwanjani (kusudio) maana usalama ni mdogo kwa wote. Imagine Wapenzi wa Simba wakijua kuwa wachezaji wao walifanyiwa fujo kutakuwa na usalama uwanjani au vita?
Bodi kwa vile wana akili kuliko hao viongozi wa Yanga wakaahidi uchunguzi wa kina ufanyike.
Sasa mpira utachezwa na faini lazima Yanga atwangwe kwa kushirikisha wahuni.
Umemaliza mkuu, asiye kuelewa atakuwa mbumbumbu
 
Kati ya barua ya Simba ya Bodi ipi ilianza. Bodi kuahirisha mchezo kwani kunafuta barua ya Simba ya kugomea mechi. Kwa ufupi Bodi waliahirisha hewa. Huwezi ahirisha mechi ambayo haipo. Mechi ilikoma kuwepo pale Simba wapotoa taarifa rasmi. Ili mchezo uwepo lazima kuwepo na pande mbili. Bodi waliahirisha mechi ambayo ilikuwa imebaki na upande mmoja.
Kwanza hebu niijibu hii hoja kimfuatano wa kimantiki kisheria,

Kwanza kisheria Simba haina uwezo wowote ule wa kuaihirisha mechi. Kwa kuwa Simba haina uwezo huo siyo yenyewe iliyoahirisha mechi.

Barua iliyoandikwa na simba kwenda bodi ya ligi haikuwa na nguvu yoyote ile ya kisheria kuilazimisha bodi ya ligi kufanya maamuzi yake kwa kufuata matakwa ya Simba. Kwa ivo kisheria simba haihusiki (not liable) kwa namna yoyote ile kwa mechi kati yake na Yanga kuahirishwa.

Bodi ya ligi ndiyo yenye mamlaka ya kuahirisha au kulazimisha mechi ichezwe. Kama iliona badala ya kulazimisha mechi ichezwe ni vema iahirishe mechi, bado hayo ni mamlaka yake kisheria.

Kwani kuahirishwa kwa mechi kati ya Simba na Dodoma Jiji taarifa yake ilitolewa na nani na ilikuwa masaa mangapi kabla ya mechi husika?
 
Ni kweli Simba hawana uwezo wa kia

Kuahirisha mchezo. Lakini wanao uwezo wa kugomea mchezo. Na ndicho walichofanya. Waligomea mchezo. TFF hakuna walichoahirisha huwezi kuahirisha mchezo ambao umegomewa. Kanuni zipo wazi juu ya nini lifanyike timu ikigomea mchezo
 
Kanuni Ipi inaelekeza kuwa timu inaweza kugomea mechi kwa sababu yoyote Ile, kwa mjibu wa Kanuni wipaswa kufanyaje baada ya changamoto hizo, je ndicho walichofanya?
Simba kupitia ile barua alisema hatocheza mechi mpaka hatua stahiki zichukiliwe ambao wanaotuhumia ni makomandoo wa uto na utopolo fc yenyew na barua ilitoka usiku mchana bodi ya ligi wakatoa barua yao wanafuatilia tukio husika lakini mechi iko pale pale baada ya masaa kadhaa boti ya ligi ikatoa press release kwamba mechi imefutwa kosa la simba liko wapi?
Kushurutisha mamlaka za mpira kuwachukulia hatua mwiko nyuma na vinyago vyake baada ya kuleta fujo kwa msafara wa simba uliokwenda kufanya mazoezi siku moja na saa zile zile baada ya mechi? Ebu fungua ubongo wako usiandike kama mwehu wa hapo mitaa ya twiga na jangwani pia nachukia kuandika magazeti
 
Huo ufafanuzi umeandikwa kwenye barua ya peke yako? Hakuna sehemu waliposema hivyo. Kama ipo ilete na upapigie mstari.
Katafute usome barua moja ikajibiwa na barua tatu kutoka mwiko nyuma
Mwehu kabisa wewe na mwiko wako nyuma
1000259082.jpg
 
Ni kweli Simba hawana uwezo wa kia

Kuahirisha mchezo. Lakini wanao uwezo wa kugomea mchezo. Na ndicho walichofanya. Waligomea mchezo. TFF hakuna walichoahirisha huwezi kuahirisha mchezo ambao umegomewa. Kanuni zipo wazi juu ya nini lifanyike timu ikigomea mchezo
Ngoja nitumie mfano mwingine.

Wewe uwe ni msimamizi wa mtihani Kwa wanafunzi wawili wa sahahda ya uzamivu (PhD). Ghafla Mmoja wa watahiniwa akasema haji kufanya huo mtihani kisa mwanafunzi mwenzake alimzimia taa wakati wanasoma usiku wa kuamkia siku ya mtihani.Wewe kama msimamizi wa mtihani ukaamua kuahirisha mtihani kabla ya muda wa huo mtihani kufanyika.

Lakini mwanafunzi yule mwingine akaja kwenye mtihani huku akiwa na taarifa kuwa umeuahirisha huo mtihani. Jee hapo nani alaumiwe?

Jee mwanafunzi aliyekuja huku akijua mtihani umeahirishwa anastahili kusifiwa. Na mtihani kuahirishwa ni kosa la yule aliyesema haji kwenye mtihani au litakuwa la wewe msimamizi wa huo mtihani?
 
Tunaishi kwenye jamii ya bora liende jamii ambayo kuna watu hulazimisha wengine wafikiri wanavyotaka wawao, hata kama uwezo wao wa kutafsiri taarifa ni mdogo
Hoja yangu hapa wa kulaumiwa ni bodi ya ligi na siyo Klabu ya Simba.
 
Ngoja nitumie mfano mwingine.

Wewe uwe ni msimamizi wa mtihani Kwa wanafunzi wawili wa sahahda ya uzamivu (PhD). Ghafla Mmoja wa watahiniwa akasema haji kufanya huo mtihani kisa mwanafunzi mwenzake alimzimia taa wakati wanasoma usiku wa kuamkia siku ya mtihani.Wewe kama msimamizi wa mtihani ukaamua kuahirisha mtihani kabla ya muda wa huo mtihani kufanyika.

Lakini mwanafunzi yule mwingine akaja kwenye mtihani huku akiwa na taarifa kuwa umeuahirisha huo mtihani. Jee hapo nani alaumiwe?

Jee mwanafunzi aliyekuja huku akijua mtihani umeahirishwa anastahili kusifiwa. Na mtihani kuahirishwa ni kosa la yule aliyesema haji kwenye mtihani au litakuwa la wewe msimamizi wa huo mtihani?
Hapa umetunga Kanuni zako Msomi. Hapo itategemea Kanuni ya Mtihani inasemaje, turudi Sasa kwenye Kanuni za Bodi ya Ligi. Yakitokea mazingira kama hayo ya Simba Kanuni inasemaje,Simba wanatakiwa wafanye nini, na Bodi baada ya hapo wanatakiwa wafanye nini
 
Kanuni ipi inasema ukinyimwa kufanya mazoezi ya mwisho ugomee kucheza?
ngoja utopolo nikujibu wa herufi kubwa kwa heshima ya SIMBA 🦁

SIMBA NI KUBWA KULIKO HIZO KANUNI.
MECHI INACHEZWA KWA MATAKWA YA SIMBA SIO YA KANUNI
 
Back
Top Bottom