Simba haikugomea kucheza mechi na Yanga

Simba haikugomea kucheza mechi na Yanga

Hapa umetunga Kanuni zako Msomi. Hapo itategemea Kanuni ya Mtihani inasemaje, turudi Sasa kwenye Kanuni za Bodi ya Ligi. Yakitokea mazingira kama hayo ya Simba Kanuni inasemaje,Simba wanatakiwa wafanye nini, na Bodi baada ya hapo wanatakiwa wafanye nini
Haya ngoja turudi kwenye tukio halisi.

Barua ya Simba kwenda Kwa bodi ya ligi ilinukuu vifungu vya kanuni. Jee bodi ya ligi iliwajibu Simba barua yake kwa namna yoyote ile?

Baada ya Simba kuandika barua yake kulitakiwa kuwe na mfuatano wa matukio ili kuiweka Simba kuwajibika Kwa mechi husika.

Sasa bodi ya ligi yenyewe ndiyo kwenye taarifa yake ilisema haina vielelezo na taarifa za kutosha kuweza kufanya uamuzi kuhusu malalamiko ya Simba hivyo ikaahirisha mechi.

Sasa hapo Simba haiwezi kusemwa iligomea mechi kwa kuwa mechi yenyewe iliahirishwa na bodi halali inayomsimamia ligi.
 
Kwahiyo SIMBA na bodi ya ligi TPLB,nani alikuwa na maamuzi ya mwisho,ina maana TPLB wako chini ya SIMBA,Au SIMBA wako chini ya TPLB?
 
Hapa Sasa Msomi unaanza kuja.

Kwahiyo kwa mfano tukikubaliana kuwa Simba waligoma, na Kanuni inaelekeza nini Bodi wanapaswa wafanye katika mazingira kama hayo ya Simba kugoma, halafu Bodi wakaamua kufanya wanavyojua wao kinyume na Kanuni,je makosa hayo ya Bodi yanafuta kosa la Simba kugoma, je makosa hayo ya Bodi yanafuta haki ambayo Yanga walipaswa wapate kutokana na makosa ya Simba
 
Kwahiyo SIMBA na bodi ya ligi TPLB,nani alikuwa na maamuzi ya mwisho,ina maana TPLB wako chini ya SIMBA,Au SIMBA wako chini ya TPLB?
Je na Yanga kusema inawashutumu Simba kwa kufanya mazoezi jioni kabla ya game NA kuwahusisha na imani za kichawi na kwamba hawaruhusiwi kufanya mazoezi uwanjani pale kwa sababu eti hawajapewa ruhusa na mamlaka husika. JE, hao Yanga ni kama nani ktk utendaji wa mamlaka zinazohusika kuzuia timu isifanye mazoezi. Na kwanini mamlaka husika zenyewe hazijaizuia Simba. Clearly Yanga imechemsha. Kama waliona kuna vitendo ambavyo sio, hawakupashwa kuizuia timu kuingia kufanya mazoezi. Wangeita au kureport kwa mamlaka zonazohusika na kuquote vifungu vya sheria ambavyo wanaona vimevunjwa na then kuja na msimamo wao kama wangepuuzwa.
 
Yanga wanamiliki uwanja kiasi kwamba wanauwezo wa kuzuia usitimike?
 
Hiyo kila mkicheza mnawagonga inahusisha zile 5-0 mlizogongwa ambazo bado hamjazilipa hadi sasa?
Sio hizo tuu, mbona ziko nyingi sema wengi hawajui maana bado walikuwa huko vijijini kwao Chimbaunye!
 
Attachments

  • All_Video_Downloader_Webvv_1742044377361.jpg
    All_Video_Downloader_Webvv_1742044377361.jpg
    89.4 KB · Views: 10
Tatizo la mapunga ndio hilo huwa hauwezi kuficha hisia zenu za kukalia 🍆
leta takwimu maana najua hauna..🤣🤣🤣🤣

IMG_20250318_000014.jpg

mimi nimekuletea vipigo 5 mfululizo na wewe leta vyako
sio unaropoka tu.

ndio maana tunawaambia kesi hamshindagi
 
Ukiambiwa leta evidence unaleta page ya Instagram? kweli mbumbumbu always mbumbumbu
soma matokeo ya hizo mechi hapo kuna mechi yenye kipengele..

naajua ulikuwa bado hujui mpira miaka hiyo ndo maana una shangaa yaan wew umeona instagram hapo hujaona mechi hizo daahh nyuma mwiko kweli nyuma mwikoo
 
Kunawatu wanaandaa post vizuri ila kumbe ujumbe wandani utumbo, ndo kama wewe.. unaonyesha kabisa unamapenzi natimu flani
 
Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu.

Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi na bodi yenyewe inavyoendeshwa.

Bila ya kujua bodi ya ligi inaendeshaje ligi na yenyewe inaendeshwaje mwisho wa siku itaishia kutoa lawama kwa wasiohusika.

Bodi ya ligi ndiyo inayoendesha ligi, sioni watu wakijadili kanuni zinazobishaniwa hutungwaje na hutumikaje na kama timu hairidhiki na jambo lolote kwenye msimu husika hutakiwa ifanye nini.

Simba ilifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi yake na Yanga siku inayofuatia. Lakini yakatokea yaliyotokea ambayo kila mtu anayajua.

Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby

Simba ikaandika barua Kwa bodi ya ligi kutoa malalamiko ya walichofanyiwa na kusema kuwa kama bodi ya ligi haitachukua hatua basi wenyewe hawatahusika na mechi hiyo.

Bodi ya ligi hatua yao ingekuwa kuamuru mechi ichezwe bila ya mashabiki tatizo lingekuwa wapi?

Lakini kwa maelezo ya bodi walipokutana wakajikuta hawana vielelezo na taarifa za kutosha kufanya maamuzi hivyo kuamua kuahirisha mechi.

Sasa wanaosema kuwa Simba iligomea mechi yake na Yanga hoja yao wanaijenga Juu ya msingi upi?

Maana ili Simba iwe imegomea mechi ni Lazima kwanza bodi ya ligi iseme mechi itakuwepo halafu Simba isifike uwanjani.

Bodi ya ligi Kwa taarifa rasmi walisema hakuna mechi, Sasa Simba ingepeleka timu uwanjani kucheza mechi gani wakati wenye dhamana ya kuendesha ligi walisema kuwa mechi husika imeahirishwa?

Ili isemwe kuwa Simba iligomea mechi ni Lazima kwanza hiyo mechi ingekuwa haijaahirishwa na bodi ya ligi.
Bure kabisa.
 
Kwanini mechi haikusogezwa siku moja mbele ili wafanye mazoezi chini ya uangalizi wa bodi?

Timu kama Simba kukosa mazoezi ya masaa mawili 'eti' ndo ipelekee kushindwa kucheza?

Siamini kama wachezaji wangeulizwa wangegoma kucheza.

Usanii na upuusi plus plus!
 
Suala si kiasi gani cha muda Bali kuzuiwa kutumia haki yao.
 
Suala si kiasi gani cha muda Bali kuzuiwa kutumia haki yao.
Haki ambayo hawakuitolea taarifa kwa mamlaka za uwanja, tff wala timu mwenyeji kuwa muda fulani watakuwepo? Hakuna haki ilikataliwa
 
Back
Top Bottom