Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,300
Tunarudi palepale...aliewatuma mpk police wakakaa kando awajibishwe....ndo maana wamesema kuna makando kando mengi wameyagundua...Mabaunsa wanauwezo wa kuzuia police wasifanye kazi?
Tunarudi palepale...aliewatuma mpk police wakakaa kando awajibishwe....ndo maana wamesema kuna makando kando mengi wameyagundua...Mabaunsa wanauwezo wa kuzuia police wasifanye kazi?
Simba walisema kuwa hawatahusika na mechi na siyo hawatapeleka timu uwanjani.Ile barua ya Simba ilisemaje kuhusu mchezo?
Uliona moto utawaka mkaweka wapuuzi wazuie lunyasi kupita, nyie si mna team zuri mngeruhusu wafanye mazoezi harafu mkutane uwanjaniNo kweli hatuna akili ndio maana kila tukicheza tunawagonga
Hoja yangu sio timu kwenda uwanjani bali umeona bodi ya ligi Misri au chama cha soka Misri kiitisha kikao cha dharura kujadiliana? Si umeona wametulia tuli na kuacha taratibu zote za mechi ziendelee kisha wao watadili na kanuni tuahly hakwenda uwanjani wew nd mana zamalek akapewa alama 3 acha kupotosha umma. Simba hakugomea mchezo bali hawezi kwenda uwanjan wakat mechi haikuwepo
Kwa maneno yako haya unamaanisha kosa ni la bodi ya ligi.Hoja yangu sio timu kwenda uwanjani bali umeona bodi ya ligi Misri au chama cha soka Misri kiitisha kikao cha dharura kujadiliana? Si umeona wametulia tuli na kuacha taratibu zote za mechi ziendelee kisha wao watadili na kanuni tu
Ulisoma wapi wewe au ndio elimu ya VETA, Kwa hio mchezo wa mpira unachezewa Instagram?Simba walisema kuwa hawatahusika na mechi na siyo hawatapeleka timu uwanjani.
Achana na ilo swala mwishowake ni kuaibika tu. Tunza kipande cha heshma kidogo kilicho bakia katika jukwaa ili la michezo kwa matumizi ya siku za usoni.redio Simba ndiyo imeahirisha mechi? Maana watu wanaojua mpira hawawezi hata kidogo kuilaumu Simba kwa sakata la mechi husika kutochezwa.
Wanaume walikuja uwanjani mkalala mbele midume mzima inadekaUliona moto utawaka mkaweka wapuuzi wazuie lunyasi kupita, nyie si mna team zuri mngeruhusu wafanye mazoezi harafu mkutane uwanjani
Kama una akili timamu,mtu akikutishia "nitakuua" automatically amekuua!Kasome barua ya Simba kwanza ndio urudi hapa,,kitendo cha Simba kuandika kwamba awapeleki timu uwanjani automatically waligomea mechi,,kwanini walitoa statement ya kutopeleka timu uwanjani kabla ya bodi kutoa maamuzi? Ina maana waligomea mechi kabla ya bodi kuahirisha kwaiyo waliwaelekeza bodi cha kufanya!
Ndio kosa la ni bodi ya ligi kuitana dharura kama vile kitu kilichotokea ni vipya havina muongozo wa kikanuni.Kwa maneno yako haya unamaanisha kosa ni la bodi ya ligi.
Acheni kutupiana mpira. Historia imeshaandikwa tayari! Mlitangaza kususia mechi kupitia ile barua yenu iliyokuwa standby hata kabla ya kwenda kukitafuta kile kisingizio ule usiku, na hiyo bodi ya ligi ikaibariki kwa kutoa tamko la kuwaunga mkono!Simba haikugomea kucheza ila walisema hatua zichukuliwe dhidi ya walichofanyiwa la sivyo wasingeshirika kwenye mechi husika.
Bodi ya ligi ikaahirisha mechi. Simba hapo inahusikaje?
Natamani ungekuwa karibu nikukande ngumi utapike daku uliyokula usiku!Kasome barua ya Simba kwanza ndio urudi hapa,,kitendo cha Simba kuandika kwamba awapeleki timu uwanjani automatically waligomea mechi,,kwanini walitoa statement ya kutopeleka timu uwanjani kabla ya bodi kutoa maamuzi? Ina maana waligomea mechi kabla ya bodi kuahirisha kwaiyo waliwaelekeza bodi cha kufanya!
Kwenye zile vurugu nani aliumia au mali gani iliharibiwa? vipi zile vurugu za Mwanza na Pamba mbona hamkugomea mechi?Natamani ungekuwa karibu nikukande ngumi utapike daku uliyokula usiku!
Mchezo wa mpira unaanza rasmi kikao cha wanahabari siku moja kabla ya mechi kwa muda uliowekwa na kanuni.
Hivyo hata mazoezi kwa timu ngeni muda utakaochezwa mechi kesho yake zote ni taratibu za hiyo mechi.
Sasa mwenyeji kaleta vibaka wake wanaharibu taratibu za mchezo na Simba katoa tahadhari kuwa jambo hilo lisiposhughulikiwa hawataleta timu uwanjani (kusudio) maana usalama ni mdogo kwa wote. Imagine Wapenzi wa Simba wakijua kuwa wachezaji wao walifanyiwa fujo kutakuwa na usalama uwanjani au vita?
Bodi kwa vile wana akili kuliko hao viongozi wa Yanga wakaahidi uchunguzi wa kina ufanyike.
Sasa mpira utachezwa na faini lazima Yanga atwangwe kwa kushirikisha wahuni.
Kwa hiyo mnafanya mazoea sio?Kwenye zile vurugu nani aliumia au mali gani iliharibiwa? vipi zile vurugu za Mwanza na Pamba mbona hamkugomea mechi?
Baada ya post hii, uzi huu ufungwe. Huyu mtu kamaliza kila kitu. Tungetumia kauli zetu za mtaani, tungesema kala nyama na mifupa yake.Natamani ungekuwa karibu nikukande ngumi utapike daku uliyokula usiku!
Mchezo wa mpira unaanza rasmi kikao cha wanahabari siku moja kabla ya mechi kwa muda uliowekwa na kanuni.
Hivyo hata mazoezi kwa timu ngeni muda utakaochezwa mechi kesho yake zote ni taratibu za hiyo mechi.
Sasa mwenyeji kaleta vibaka wake wanaharibu taratibu za mchezo na Simba katoa tahadhari kuwa jambo hilo lisiposhughulikiwa hawataleta timu uwanjani (kusudio) maana usalama ni mdogo kwa wote. Imagine Wapenzi wa Simba wakijua kuwa wachezaji wao walifanyiwa fujo kutakuwa na usalama uwanjani au vita?
Bodi kwa vile wana akili kuliko hao viongozi wa Yanga wakaahidi uchunguzi wa kina ufanyike.
Sasa mpira utachezwa na faini lazima Yanga atwangwe kwa kushirikisha wahuni.
Hawezi kuelewa hii,wengi wanadhani hii barua iliyowekwa kwenye Instagram ndio hiyo imepelekwa bodi ya ligi,walete barua ya Simba iliyoenda bodi tujadili." Haki zote zimehifadhiwa" hapo wewe umeelewaje?
Simba ilisema haitahusika na mechi hiyo lakini Siyo yenyewe ndiyo iliyoahirisha mechi.
Hiyo kila mkicheza mnawagonga inahusisha zile 5-0 mlizogongwa ambazo bado hamjazilipa hadi sasa?No kweli hatuna akili ndio maana kila tukicheza tunawagonga
Hawana akiliNyie utopolo hasira zenu ziko kwa Simba...hamishieni hasira zenu kwa bodi ya ligi...fungueni akili zenu...Simba hata mwende CAS hapokwi point...