Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,788
- 168,144
Nanyie mbadilike mtembee na peni zenu mtuache hatutakiiiiiiijamani dadaz badilikeni
Nanyie mbadilike mtembee na peni zenu mtuache hatutakiiiiiiijamani dadaz badilikeni
Inawezekana ukawa unasema kweli
Lakini kuna mijamaa mingine ni noma
Ki msingi wanaume ndio tumeisababisha hii dhana kwa akina dada japokuwa nao kuishi kimazoea ni makosa
Unakuta mdada anasimamiswa na lijamaa limevaa kata kei halafu lina mirasta inanuka na minguo haijapigwa pasi ukiongeza na viatu amevaa ova saizi ukijumlisha na ile miondoko ya kibange bange,mdada atasimama kweli?
Eti King'asti , charminglady , Karucee , Khantwe , Evelyn Salt , ladyfurahia DEMBA , miss neddy Dinazarde , Kaunga , gfsonwin , AshaDii , KOKUTONA , Nyamayao kyanaKyoMuhaya na wengine hebu njooni mniambie kama mkisimamishwa na jamaa kama huyu mtasimama!
hahahaha rafiki yako kajitakia kwanini asingechora hiyo namba chini kwa kidole
Utotooo,,,,,,
Ooohhh nifanyeje sasa?Usifanye hivyo bhana....
Wanawake akili zao ziko chini kwenye hilo lishimo lao siyo kichwani.
Ndo maana hata picha wakipiga wanaelekeza huko chini.
In short mwanamke ana akili ya kitandani tu.
KAGONGWA KAHAMA SHINYANGA
huwa mnaanzia mbali then mnaomba namba ya simu.
Mkuu tuwe na heshima japo kidogo kwa mama zetu.
Mwanaume wa kweli hawezi tukana alipotokea na panapompa utamu.
Adabu haiuzwi dukani.
Ahsanta kwa kunielewa.
Habari zenu Wanajamii Forum,hivi huu mtindo wa kinadada haka ka mtindo ka kuleta nyodo mkisimamishwa barabarani inakuwa vipi?
Mfano mzuri kuna jamaa yangu alimsimamisha binti njiani kwa madhumuni ya kumuazima pen coz aliiona kaishika lakini yule mdada alimjibu kwa nyodo na kuendelea na safari yake lakini jamani kiukweli alikuwa anahiitaji ile peni aandikie namba ngeni ya simu iliyoingia kwa simu yake si kwa lengo la kumtongoza.
Jamani kina dada sio kila mtu anayekusimamisha barabarani anataka kukutongoza mbona kina kaka wakisimamishwa wa na kina dada wanasimama?acheni hizo bwana.
Nimekuelewa mkuu, hiyo kidogo nafikiri ninayo
Ila sijafikiria kwamba heshima na adabu kwa mama iko kwenye K yake.
Ila mwanamke ni mwanamke kwa sababu ana uke . Kuwa mama haimfanyi kutokuwa mwanamke.
Inawezekana ukawa unasema kweli
Lakini kuna mijamaa mingine ni noma
Ki msingi wanaume ndio tumeisababisha hii dhana kwa akina dada japokuwa nao kuishi kimazoea ni makosa
Unakuta mdada anasimamiswa na lijamaa limevaa kata kei halafu lina mirasta inanuka na minguo haijapigwa pasi ukiongeza na viatu amevaa ova saizi ukijumlisha na ile miondoko ya kibange bange,mdada atasimama kweli?
Eti King'asti , charminglady , Karucee , Khantwe , Evelyn Salt , ladyfurahia DEMBA , miss neddy Dinazarde , Kaunga , gfsonwin , AshaDii , KOKUTONA , Nyamayao kyanaKyoMuhaya na wengine hebu njooni mniambie kama mkisimamishwa na jamaa kama huyu mtasimama!
hata mimi naleta nyodo aku mie ....
Inategemea Ntu na Ntu... Mbona me huwa wanasimamaga tu,,, na namba za simu wanatoa