Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
- Thread starter
- #61
Jamani wanaume tunakoma mbona wanaume wakisimamishwa na kina dada wanasimama???????????
Habari zenu Wanajamii Forum,hivi huu mtindo wa kinadada haka ka mtindo ka kuleta nyodo mkisimamishwa barabarani inakuwa vipi?
Mfano mzuri kuna jamaa yangu alimsimamisha binti njiani kwa madhumuni ya kumuazima pen coz aliiona kaishika lakini yule mdada alimjibu kwa nyodo na kuendelea na safari yake lakini jamani kiukweli alikuwa anahiitaji ile peni aandikie namba ngeni ya simu iliyoingia kwa simu yake si kwa lengo la kumtongoza.
Jamani kina dada sio kila mtu anayekusimamisha barabarani anataka kukutongoza mbona kina kaka wakisimamishwa wa na kina dada wanasimama?acheni hizo bwana.
hahahaha rafiki yako kajitakia kwanini asingechora hiyo namba chini kwa kidole
paroko hayo ni majanga tena mm sisimami kabisa nampotezea kiaina
Unamsimamisha kumuazima pen? Nunua yako!!!!! Mmezidi kijana uko smart, mkanda nje lakini pen ya Tshs 100 huna!!! Safi sana. Mmezidi!! Huyo hakuwa maharage ya Mbeya maji mara moja!!!! Huyo mliyemsimamisha akakataa ni maharage mekundu Acapulco. Mpe pole rafiki yako, atakuja kusimamisha na majini huko barabarani.Habari zenu Wanajamii Forum,hivi huu mtindo wa kinadada haka ka mtindo ka kuleta nyodo mkisimamishwa barabarani inakuwa vipi?
Mfano mzuri kuna jamaa yangu alimsimamisha binti njiani kwa madhumuni ya kumuazima pen coz aliiona kaishika lakini yule mdada alimjibu kwa nyodo na kuendelea na safari yake lakini jamani kiukweli alikuwa anahiitaji ile peni aandikie namba ngeni ya simu iliyoingia kwa simu yake si kwa lengo la kumtongoza.
Jamani kina dada sio kila mtu anayekusimamisha barabarani anataka kukutongoza mbona kina kaka wakisimamishwa wa na kina dada wanasimama?acheni hizo bwana.
Makalio hayatingishwi yanatingishika babuuuu
wakati anakupa hela ungemtandika mkofi wa usoni...usepe zako!
Asingeniletea mapozi kabla nilipomwita ningemtafuta huwezi jua pengine hata papuchi ningepewa, tatizo alileta mapozi ndio maana na mimi nikampa somo(bila ya yeye kujua) usione umuhimu wa mtu hadi ukiwa na matatizo au hadi atakapokutatulia/atakapokusaidia tatizo lakoduh hela ningemrudishia ila namba yake ningechukua na ningemtafuta!!!!
Wanawake akili zao ziko chini kwenye hilo lishimo lao siyo kichwani.
Ndo maana hata picha wakipiga wanaelekeza huko chini.
In short mwanamke ana akili ya kitandani tu.
KAGONGWA KAHAMA SHINYANGA
Inategemea unasimamishwaje, zile za psiii sister, psiii psiii oya, nani asimame?
Hahahahaha umenifanya nicheke kwa nguvu jamani my dia
Na ndio kinachotuponza huruma zetu hadi inafikia kuibiwa magari kwa majambazi kuwatumia chambo wanawake(ambao mwanamke na majambazi wanakuwa wamoja)Jamani wanaume tunakoma mbona wanaume wakisimamishwa na kina dada wanasimama???????????
wanawake akili zao ziko chini kwenye hilo lishimo lao siyo kichwani.
Ndo maana hata picha wakipiga wanaelekeza huko chini.
In short mwanamke ana akili ya kitandani tu.
Kagongwa kahama shinyanga
Habari zenu Wanajamii Forum,hivi huu mtindo wa kinadada haka ka mtindo ka kuleta nyodo mkisimamishwa barabarani inakuwa vipi?
Mfano mzuri kuna jamaa yangu alimsimamisha binti njiani kwa madhumuni ya kumuazima pen coz aliiona kaishika lakini yule mdada alimjibu kwa nyodo na kuendelea na safari yake lakini jamani kiukweli alikuwa anahiitaji ile peni aandikie namba ngeni ya simu iliyoingia kwa simu yake si kwa lengo la kumtongoza.
Jamani kina dada sio kila mtu anayekusimamisha barabarani anataka kukutongoza mbona kina kaka wakisimamishwa wa na kina dada wanasimama?acheni hizo bwana.
Inawezekana ukawa unasema kweli
Lakini kuna mijamaa mingine ni noma
Ki msingi wanaume ndio tumeisababisha hii dhana kwa akina dada japokuwa nao kuishi kimazoea ni makosa
Unakuta mdada anasimamiswa na lijamaa limevaa kata kei halafu lina mirasta inanuka na minguo haijapigwa pasi ukiongeza na viatu amevaa ova saizi ukijumlisha na ile miondoko ya kibange bange,mdada atasimama kweli?
Eti King'asti , charminglady , Karucee , Khantwe , Evelyn Salt , ladyfurahia DEMBA , miss neddy Dinazarde , Kaunga , gfsonwin , AshaDii , KOKUTONA , Nyamayao kyanaKyoMuhaya na wengine hebu njooni mniambie kama mkisimamishwa na jamaa kama huyu mtasimama!