Simama wewe sikutongozi

Inawezekana ukawa unasema kweli

Lakini kuna mijamaa mingine ni noma

Ki msingi wanaume ndio tumeisababisha hii dhana kwa akina dada japokuwa nao kuishi kimazoea ni makosa

Unakuta mdada anasimamiswa na lijamaa limevaa kata kei halafu lina mirasta inanuka na minguo haijapigwa pasi ukiongeza na viatu amevaa ova saizi ukijumlisha na ile miondoko ya kibange bange,mdada atasimama kweli?

Eti King'asti , charminglady , Karucee , Khantwe , Evelyn Salt , ladyfurahia DEMBA , miss neddy Dinazarde , Kaunga , gfsonwin , AshaDii , KOKUTONA , Nyamayao kyanaKyoMuhaya na wengine hebu njooni mniambie kama mkisimamishwa na jamaa kama huyu mtasimama!
Eiyer, kwa nini unisimamishe? Unanijua? Sisimami.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu Wanajamii Forum,hivi huu mtindo wa kinadada haka ka mtindo ka kuleta nyodo mkisimamishwa barabarani inakuwa vipi?

Mfano mzuri kuna jamaa yangu alimsimamisha binti njiani kwa madhumuni ya kumuazima pen coz aliiona kaishika lakini yule mdada alimjibu kwa nyodo na kuendelea na safari yake lakini jamani kiukweli alikuwa anahiitaji ile peni aandikie namba ngeni ya simu iliyoingia kwa simu yake si kwa lengo la kumtongoza.

Jamani kina dada sio kila mtu anayekusimamisha barabarani anataka kukutongoza mbona kina kaka wakisimamishwa wa na kina dada wanasimama?acheni hizo bwana.

ndo maana hua siwasimamishi hata kama nna shida kweli.. maana najua ataleta maringo hata buku, ongea na dume mwenzio na atakusaidia cause tunaelewana.. hawa wadada wengi wao wanadhani kila atakayemwita ataongea sh-t, angalia na anayekuita yuko vipi bwana.. unaweza ukawa umeangusha kitu muhimu, unaitwa.. unaanza kubinua midomo na kuongeza mikogo.. shenz typ
 
Afadhal yangu mtu wa kijiweni wote swaiba zangu nikisimamishwa nasimama akiniongelesha kisela hapo saaafi atafurahi na roho yake. binafsi kampani yangu kubwa ni wanaume coz nimezoea kupiga nao story ivo yani makonda wavuta bangi wagumu hao ndio typ zangu ila masharobaro excuse me siwapendi milele amina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom