Siloam Ministry International Mbezi Beach


Mmh iyo ndio soloam?!!
 
Hizi dini nyingine ni za kupiga marufuku,mambo wanayoyafanya hayana tofauti na wachawi.
 

kazi ipo
 
Duh. .

Najaribu kufikiri kwamba kama huyu ni Nabii wa mwisho wa kizazi hiki cha nne ina maana hakutakuwa na Nabii mwingine tena?
Atakaye take over hiyo nafasi sijui ataitwaje. ........

Mungu atusaidie

Achana na huo upuuzi wao hawa watu ni waongo wa wazi wazi yaani hata hawakufichi kwamba wanakudanganya.Huyo nabii wao anawafundisha wasiende hospitali wakiumwa huo si utahira kabisa,halafu mtu kama huyu anayeweka maisha ya watu kibao hatarini mnamwambia alale mahali pema.Rest in hell MUNUO,umepoteza wengi kwa kupindisha maandiko na damu zao utadaiwa na Yeye ahukumuye kwa haki pasipo upendeleo.
 
sheria ipo sema tu kwa vile ni issue sensitive ndo mana ku enforce inaleta kila aina ya shida!!
 
Nimepita Leo asubuhi SAA moja na nusu hivi nimekuta wamejazana kwenye Yale mabasi yao sijui wanaenda wapi
 
wandugu nimepata taarifa kuwa ---- mambo mazito yanaendelea kuanzia jana hadi leo kanisani hapo mbezi Beach Makonde..Mwenye habari zaidi atujuze au kama kuna mtu anasali hapo atuambie tafadhali

Haha hao watu ni wa ajabu sana.
 
Ndo zake huyo. Hii post anairusha kwenye threads mbalimbali anazoziona ni za kipuuzi.

katumwa huyo, upotoshaji fani wenzio wanasomea china kasome kwanza urudi ili upotoshe mada ya sloam
 
hawa jamaa ni wajasiliamali.....
 
Huyu bwana Munuo kabla ya kuanzisha dini yake hapo Sloam, tulisali naye pale Mbezi Beach Luth Church.
Na alipora waumini wengi sana toka Mbezi, ila wengi wamekufa kwa imani zao zisizoeleweka.
Namkumbuka mamam mmoja ambaye mume wake alifariki kwa ukimwi.
Alipojiunga hapo aliambiwa atapona tu kwa miujiza, huyo mama akaendelea kupungua kilo hadi naye akaudedi.


Pamoja na kumpa hongera Munuo kwa kupata waumini wengi, lakini hilo neno analolisambaza kwa hakika halitoki kwa Bwana.
 
Acheni uongo nyie kizazi cha shetani,

Tangu jana kuna maombi ya TOBA, hakuna aliyekufa bali kalala tu mjumbe wa mapenzi ya Mungu Eliya Kizazi cha nne.


Kumbe na wewe ni muumini wa hizi dini za digitali????

Wajinga hawaishi chini ya Jua
 


Dini zimekuwa kama timu za mpira ama Bendi za Muziki...

Wanaporana waumini kama Bendi zinavyoporana Wanamuziki.....

NB:
Nimeamini kuwa Wajinga hawataisha Chini ya Jua.

Poleni sana wafiwa.
 
Acheni uongo nyie kizazi cha shetani,

Tangu jana kuna maombi ya TOBA, hakuna aliyekufa bali kalala tu mjumbe wa mapenzi ya Mungu Eliya Kizazi cha nne.
All along I knew there was something wrong with you!!!!
Ataamka lini?
Habu tushirikishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…