Siloam Ministry International Mbezi Beach

Siloam Ministry International Mbezi Beach

Huyu aliamua kujilia pesa zake kimya kimya..

Ni kweli na alikuwa na ukwasi wa kifedha ,kwanza alikuwa anawavalisha waumini wake manguo meupe hiyo ni lazima na si hiari.Sasa tunasubiri kinyang'anyiro cha kumiiki mali,ila kanisa lake robo tatu ya waumini wake ni watu masikini sana ni tofauti na wale wa kwa Mh Dr mbunge
 
Vipi vita ya tatu ya dunia ni lini mkuu..?

Au manuscript za mama Hellena White zimegoma..??
Weye #mrumi umeanza dogma zako....teh teh! Otorong'ong'o
Ila kweli mama Hellena alitaka kuwalisha matango mwitu..!
Wale jamaa wanasema Wavatikan na Papa yake alama ni 666...yule joka "Vicarius Filii Dei=666!
kumbe hata ELLen GoVLD VVhIte 50+50+5+50+500+5+5+1=666...
Teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli na alikuwa na ukwasi wa kifedha ,kwanza alikuwa anawavalisha waumini wake manguo meupe hiyo ni lazima na si hiari.Sasa tunasubiri kinyang'anyiro cha kumiiki mali,ila kanisa lake robo tatu ya waumini wake ni watu masikini sana ni tofauti na wale wa kwa Mh Dr mbunge

Hili kanisa limewafilisi jamaa zangu flan nilikuwa na naabudu nao pale kkkt,,kkoo walikuwa vijana mapacha walifanikiwa sana kwenye Biashara zao wakahamia huko nnavyombia leo hii wamekuwa omba omba wamepauka wacha utani Hawa wanaomiliki mapagale nakuyaita makanisa wanatia watu uPUMBAVU kwa kujifanya wanaijua Biblia kuliko hata walioiandika watu wengi.wamekuwa.maskini kwa kuhangaika wakiamini YESU anapatikana kwenye majengo,,,!
 
Mmmhhh
Watu wanaongea!
Nway cmjui so no comments than rip
 
Taarifa nilizopata za uhakika kwa ndugu wa nabii eliya munuo kiongozi mkuu wa wa kanisa la sloamu mbezi lenye matawi nchi nyingine duniani za afrika ,ulaya na marekani kafariki baada ya kukanyaga msumari wenye tetenasi.Lakini Kutokana na kuwa na imani ya kutotambua matibabu ya hospitali aligoma kutibiwa akabaki kutegemea maombi tu kwani anaamini mambo ya hospitali ni shirki na ushetani usiokubalika katika imani ya watu wa sloamu.

Nikiwa ni mtanzania nawapa pole ndugu waliofiwa na waumini kwani nabii eliya munuo ni mmoja wa watanzania walioipeperusha bendera ya kidini ya watanzania nchi zingine na kuonyesha ulimwengu kuwa si tu wazungu na waarabu ndio waweza anzisha dini na kusambaza hizo dini walizoanzisha nchi zingine bali hata watanzania waweza anzisha dini zao zenye makao makuu tanzania na wakazisambaza dini zao hizo sehemu zingine duniani kama ilivyo kwa vatican na maka na madina .

Nampongeza kwa hilo. Swala la kuwa dini aliyoanzisha ni ya kweli au si kweli.hayanihusu. Nampongeza kwa uthubutu wake na kuweza.
Kaonyesha kuwa watanzania wakiamua kuthubutu wanaweza.

Mwenyezi mungu amsamehe dhambi ndogo ndogo na kubwa kubwa na amuweke pale panapomstahili.

Taarifa nilizopata za uhakika kwa ndugu wa Nabii Eliya MUNUO kiongozi mkuu wa wa kanisa la SLOAMU mbezi lenye matawi nchi nyingine duniani za afrika ,ulaya na marekani kafariki baada ya kukanyaga msumari wenye tetenasi.Lakini kutokana na kuwa na imani ya kutotambua matibabu ya hospitali aligoma kutibiwa akabaki kutegemea maombi tu kwani anaamini mambo ya hospitali ni shirki na ushetani usiokubalika katika imani ya watu wa Sloamu.

Nikiwa ni mtanzania nawapa pole ndugu waliofiwa na waumini kwani Nabii ELIYA MUNUO NI mmoja wa watanzania walioipeperusha bendera ya kidini ya watanzania nchi zingine NA KUONYESHA ULIMWENGU KUWA SI TU WAZUNGU NA WAARABU NDIO WAWEZA ANZISHA DINI NA KUSAMBAZA HIZO DINI WALIZOANZISHA NCHI ZINGINE BALI HATA WATANZANIA WAWEZA ANZISHA DINI ZAO ZENYE MAKAO MAKUU TANZANIA NA WAKAZISAMBAZA DINI ZAO HIZO SEHEMU ZINGINE DUNIANI KAMA ILIVYO KWA VATICAN NA MAKA NA MADINA .NAMPONGEZA KWA HILO. SWALA LA KUWA DINI ALIYOANZISHA NI YA KWELI AU SI KWELI.hayanihusu. nampongeza kwa uthubutu wake na kuweza.
Kaonyesha kuwa watanzania wakiamua KUTHUBUTU wanaweza.
Mwenyezi mungu amsamehe dhambi ndogo ndogo na kubwa kubwa na amuweke pale panapomstahili.

MODERATOR NAKUOMBA USIUNGANISHE NA THREAD ZINGINE.
 
Laa kanisa la traffic ,maake wanaamurishwa kuvaa nguo nyeupe toka chini hadi juu,haya makanisa mengine kweli shida ,wanavarishwa uniform kama wapo majeshini /mahospitali

Watalibani !
 
Samahani, ni nani alikuwa msaidizi wake, makanisa mengi hayana utaratibu wa kupiga kura, huwa kiongozi mkuu anateua wasaidizi, sasa kwenye mazingira haya ya ghafra utaratibu wa kanisa hilo ukoje?
RIP Mtu wa Mungu

Cc Yeriko Nyerere
 
Taarifa nilizopata za uhakika kwa ndugu wa Nabii Eliya MUNUO kiongozi mkuu wa wa kanisa la SLOAMU mbezi lenye matawi nchi nyingine duniani za afrika ,ulaya na marekani kafariki baada ya kukanyaga msumari wenye tetenasi.Lakini kutokana na kuwa na imani ya kutotambua matibabu ya hospitali aligoma kutibiwa akabaki kutegemea maombi tu kwani anaamini mambo ya hospitali ni shirki na ushetani usiokubalika katika imani ya watu wa Sloamu.

Nikiwa ni mtanzania nawapa pole ndugu waliofiwa na waumini kwani Nabii ELIYA MUNUO NI mmoja wa watanzania walioipeperusha bendera ya kidini ya watanzania nchi zingine NA KUONYESHA ULIMWENGU KUWA SI TU WAZUNGU NA WAARABU NDIO WAWEZA ANZISHA DINI NA KUSAMBAZA HIZO DINI WALIZOANZISHA NCHI ZINGINE BALI HATA WATANZANIA WAWEZA ANZISHA DINI ZAO ZENYE MAKAO MAKUU TANZANIA NA WAKAZISAMBAZA DINI ZAO HIZO SEHEMU ZINGINE DUNIANI KAMA ILIVYO KWA VATICAN NA MAKA NA MADINA .NAMPONGEZA KWA HILO. SWALA LA KUWA DINI ALIYOANZISHA NI YA KWELI AU SI KWELI.hayanihusu. nampongeza kwa uthubutu wake na kuweza.
Kaonyesha kuwa watanzania wakiamua KUTHUBUTU wanaweza.
Mwenyezi mungu amsamehe dhambi ndogo ndogo na kubwa kubwa na amuweke pale panapomstahili.

MODERATOR NAKUOMBA USIUNGANISHE NA THREAD ZINGINE.

Jambo ambalo silielewi ni kuwa lazima kiongozi wa hii dini aitwa Nabii Eliya? Nafahamu mwanzilishi aliitwa Thebeti Eliya ambaye alikuwa na wake kama 30 na kijiji chake kule Upareni Kilimanjaro baada ya yeye kufa akachukua uongozi huyu Munuo ambaye naye kaitwa Nabii Eliya Munuo. Je jina la Thebeti kabla ya kuitwa au kujiita nabii Eliya lilikuwa lipi? Na hili jina la Eliya kuna uhusiano wowote na Nabii Eliya wa Biblia ya Wakristo ambayo Siloam wanakiita kitabu hicho jina jingine? Naomba kuelimishwa kwa hayo.
 
Back
Top Bottom