Jaman me ninasali siloam pia bt wa2 weng wanaongea vitu wasivyovijua bt mwenye swal aniulize na ii sio dini ni kanisa jaman mtofautshe din znazofahamika ni wakristo na waislam kwa tanzania siloam ni kanisa wala c dini wala dheheb
R' u serious?usisahau kuwa maombi yana nguvu sana hata kuhamisha milima
anaweza kufufuka na mkabaki midomo wazi,waacheni wafanye maombi
He! Asante kwa taarifa then fatilia vizur na utupe mrejesho..
Mazishi ya mwili wa adamu wa pili ni J4 wao wanaiita jingine (km jumapili ya wakristo) lkn wanasema yeye amepona umauti ametwaliwa ila mwili wake uko lugalo.
Huwa hawafanyi Kazi
Alijitabilia kifo chake. Apumzike kwa Amani.
KITABU CHA NENO
Wanasema Biblia limetokana na neno Vivlio ambapo lina maana ya Mungu Mke kiyunani. ..
Leo asubuhi kanisani SILOAM wakati wa maombi ya asubuhi waliweka CD ya nabii Eliya, majirani wakaanza kushangaa kuwa huenda nabii huyu hajafariki au amefufuka.
Habari za uhakika hata ndugu zake hawakuwa wanafahamu km amefariki, inasemekana kuwa mdogo wake anayeitwa Swai aliposikia taarifa hizi aliamua kwenda kanisani, alipofika pale hakuona km kuna msiba, aliwauliza waumini kuhusu viongozi walipo wao wanawaita makuhani wakiwa na kikao juu ghorafani, alipofika walimkarisha kwa kumpa hongera sana, akashangaa kwa nini alikuwa anapewa hongera, aliuliza zaidi kwa nini hongera? alojibiwa kuwa Nabii Eliya alikuwa ameshinda umauti amenyakuliwa na MUNGU, nasikia ndugu yake akauliza kwa hiyo hayupo akajibiwa yeye hayupo amenyakuliwa ili mwili wake umehifadhiwa katika hospitali ya Lugulo. kwa taarifa zaidi mazishi yatakuwa siku ya J4 ambayo ndiyo km jumapili ya kwao.
Hivyo wao wanapeana hongera lkn kwa sasa kumepooza sana. Nabii huyu kwa jina jingine alijiita adamu wa pili. makazi yake yapo bao bao km unaenda bagamoyo, kuna mjengo wa ghorofa km 3, na magate 3 kabla ya kufika mjengoni.
Hivi Yesu mwenyewe aliishi kwenye ghorofa tatu na geti utafikiri shimo la tewa....mmmhh
Mungu ni wa ajabu!Alijitabiria wapi kwa mtu aliyesoma ukipata tetanus kinachofuatia ni umauti ni sawa na mtu anywe sumu halafu aanze kutoa wosia alafu mje mseme alijitabiria hana tofauti ya yule mwingine aliyejifanya kutembea juu ya maji baharini yaliyo mkuta yupo na lusifer wanapiga story.