The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Kwaanzia leo sili tena nyama za buchani. Sitaki kushiriki ibada za kipagani na kishirikina.
Hata matunda ya Mudi tende naepuka sana hata kuonja.
Kabla ya kunywa hata maji ya chupa nakagua kwa umakini kama ni ya zamzam. Nikijiridhisha siyo ndo nakunywa.
Kama muumini wa Mungu wa kweli sitaki najsi kwenye mwili wangu na imani yangu nimedhamiria kwenda mbinguni.
Kwaiyo sitashiriki nakujihusisha na ibada za kipagani.
Nyau de adriz