Silaha ya mlinzi wa Lissu imenitoa ushamba

Ukitaka kupata majibu sahihi tafuta movie za kivietnam

giphy.gif

Acha nicheke tu leo nyerere day
 
Halafu mtu anishawishi kuwa eti Lissu atashinda hahaha
 
Wakuu,

Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha.

Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha mlinzi wa Lissu akiwa na silaha ya ajabu ambayo nimeshindwa kuelewa ni silaha ya aina gani.

Kombora sio kombora, mkuki sio mkuki, upinde sio upinde, Rpg sio rpg

View attachment 1600189
. Hakika imenitoa ushamba sana.

Naomba mwenye kuijua anipe taarifa zake ili siku nikipata ukwasi wa kutosha na mimi nikainunue kwaajili ya ulinzi binafsi.
Asante.
Mbona mwamvuli tu ule?
 
Hiyo ni silaha ya kibeberu ambayo ni ghali sana kuimiliki, Duniani ni watu watatu tu wanaolindwa na silaha hiyo...wa kwanza ni Kim Jon Un, wa pili ni Rais wa Urusi na wa tatu ni Mh. Lisu.
Ayatollah wa Iran ametoa oda pia ila bado hajakidhi vigezo.
 
Wakuu,

Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha.

Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha mlinzi wa Lissu akiwa na silaha ya ajabu ambayo nimeshindwa kuelewa ni silaha ya aina gani.

Kombora sio kombora, mkuki sio mkuki, upinde sio upinde, Rpg sio rpg

View attachment 1600189
. Hakika imenitoa ushamba sana.

Naomba mwenye kuijua anipe taarifa zake ili siku nikipata ukwasi wa kutosha na mimi nikainunue kwaajili ya ulinzi binafsi.
Asante.

Hizi ndiyo zile lugha rasmi ambazo wale walio panga kukandamiza haki na uhuru wetu ikiwamo kukwiba uchaguzi wanaweza kuzielewa.

Lugha zilizodhamiria kwamba basi ni basi kweli kweli.

Viva askofu Mwamakula, si muda mrefu tutaungana sote kwenye msafara huo.

Haki na uhuru huinua taifa.
 
Hiyo ikipigwa haitoi sauti, ni vibration tu kama simu lakini inauwa watu 1000 kwa nusu dakika

Halafu ikiwaua hawatoki damu, damu inaganda ndani kwa ndani

Afrika nzima ni viongozi wawili tu wanalindwa na silaha hiyo
Makamu mwenyekiti wa chadema unaona nu kiongozi mkubwa Sana?
 
Back
Top Bottom