figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Yule ndugu yenu haitwi Magufuri bali Magufuli.Yani kila kukicha ni kurudia Yale yale hadi tumechoka na mipasho ya huyo magufuri.watu mnabana matako kwa nguvu kubwa kisa marehemu.huo mzimwi hautawaacha salama hakika..
Ndo Raisi peke anae ongeza nchi bila pressure makundi au camps au purukushani yoyote, nina wakika atakua raisi bora baada ya NyerereSalaam Wakuu,
Waliposema Chi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli? Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.
Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi yeye, dereva yeye, mpiga ngoma yeye, muendesha mashitaka yeye. Alifikia hatua ya kuamua ufe au uishi kama vile yeye ni Mungu. Nikajiuliza, hii roho ya hivi huyu mama hana, je, akibadilisha muelekeo itakuaje?
Nimeshangaa kuona nchi ipo kwenye Mstari bila polisi kupiga Mabomu, bila kuwananga Watendaji kwenye majukwaa ya Siasa, Bila watu kutekwa na Wasiojulijana, Shule zinajengwa za msingi hadi zawekwa tiles.
Hakika Wasiojulikana Wamezikwa na Magufuli. Tarehe 30 Tundu Lissu anarudi mambo yawe mwemelemwemele.
Tumuombee Rais wetu Samia Hasan aendelee kuwa na hofu na Mungu. Sasa tunaiona Kesho ya Tanzania tofauti na yule rais akiamka alikuwa anaamia na akili mpya.
Hakuwa na wakumfunga kengere.
Amezinyamazishaa...Ndo Raisi peke anae ongeza nchi bila pressure makundi au camps au purukushani yoyote, nina wakika atakua raisi bora baada ya Nyerere
Taratibu...Kama huyu mama anaweza kuongoza nchi basi hii nchi haina sifa za kuiongoza, yoyote anaweza kuiongoza.
Wapiga debe mtapiga sana ila ukweli ni kwamba huyu mama ni sifuri. Huhitaji elimu ta form six kuona kua hili taifa limepoteza dira chini ya huyu Mzanzibari. Muda ni mwalimu mzuri, muda utasema tu.
Ndugai si ali resign mwenyewe, au mimi ndio sina habari Mkuu?Mtu asietii na kufuata sheria naona unampa sifa za kinafiki tu.
Kama Samia sio "one man army" kwanini alimuondoa Ndugai?
Kwanini anawakumbatia wakina Mdee bungeni na mahakamani?
Na wale DarMpya blog, kwanini TCRA wanawasumbua kwa kuripoti kwao habari ya wale wamasai fake waliokwenda kuigiza kuandamana nje ubalozi wa Kenya?
Unamsifia mtu aliyesema ukinipara nitakuparua?
Kama hana pressure ya makundi kwanini akawaondoa kina Lukuvi na Ndugai kwenye serikali yake, na kuwajaza watoto wa marafiki zake, na yule waziri shemeji yake?Ndo Raisi peke anae ongeza nchi bila pressure makundi au camps au purukushani yoyote, nina wakika atakua raisi bora baada ya Nyerere
TANZANIA NI NCHI TAJIRI SANA TATIZO NI UONGOZI NA SIASA CHAFUSalaam Wakuu,
Waliposema Chi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli? Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.
Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi yeye, dereva yeye, mpiga ngoma yeye, muendesha mashitaka yeye. Alifikia hatua ya kuamua ufe au uishi kama vile yeye ni Mungu. Nikajiuliza, hii roho ya hivi huyu mama hana, je, akibadilisha muelekeo itakuaje?
Nimeshangaa kuona nchi ipo kwenye Mstari bila polisi kupiga Mabomu, bila kuwananga Watendaji kwenye majukwaa ya Siasa, Bila watu kutekwa na Wasiojulijana, Shule zinajengwa za msingi hadi zawekwa tiles.
Hakika Wasiojulikana Wamezikwa na Magufuli. Tarehe 30 Tundu Lissu anarudi mambo yawe mwemelemwemele.
Tumuombee Rais wetu Samia Hasan aendelee kuwa na hofu na Mungu. Sasa tunaiona Kesho ya Tanzania tofauti na yule rais akiamka alikuwa anaamia na akili mpya.
Hakuwa na wakumfunga kengere.
Kama jiwe aliweza kutawala hi nchi lijitu ambalo lilikua lishamba uncivilised sembuse Mama mwenye hofu ya Mungu na ustarabu teleKama huyu mama anaweza kuongoza nchi basi hii nchi haina sifa za kuiongoza, yoyote anaweza kuiongoza.
Wapiga debe mtapiga sana ila ukweli ni kwamba huyu mama ni sifuri. Huhitaji elimu ta form six kuona kua hili taifa limepoteza dira chini ya huyu Mzanzibari. Muda ni mwalimu mzuri, muda utasema tu.