Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

Work like you don't need the
money, love like you've never
been hurt, and dance like
nobody is watching.
 
Kama umekuja kwa shari g utaona ni sawa ila watu wengine hatujazoea fujo toka tumboni mwa mama zetu mimi ni mtu wa amani na mstaarabu mimi na matusi ni tofauti kabisa kabisa

Basi kwa dunia hii utakereka sana. Manake sehemu moja ambayo mtu unatakiwa usikereke ni hapa JF kwa sababu hatujuani, kwa hiyo litakalosemwa linatakiwa lidunde tu lisikudhuru.
 
basi kwa dunia hii utakereka sana. Manake sehemu moja ambayo mtu unatakiwa usikereke ni hapa jf kwa sababu hatujuani, kwa hiyo litakalosemwa linatakiwa lidunde tu lisikudhuru.
sasa kama mtu humjui na hajakukera unamtukana wa nini?
 
sasa kama mtu humjui na hajakukera unamtukana wa nini?

Hizo ni katika staarehe zao watu wengine. Utamzuwia mtu staarehe zake bana! Wewe tu usikereke manake isiwe mwengine anakula staarehe wewe unajikera
 
hizo ni katika staarehe zao watu wengine. Utamzuwia mtu staarehe zake bana! Wewe tu usikereke manake isiwe mwengine anakula staarehe wewe unajikera
kwa iyo kuna watu wanapata starehe za matusi hapa jf?
 
......mwenzio nimeshindwa kunywa pombe tangu umeondoka (nakunywa konyagi tu kwa huzuni).
Weirrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaa.... lete pombe bila chupa tafadhali!



Hujatulia hata kidogo wewe.....hahahahah! nimeipenda hiyo nami ntaanza kitumia kwa Bar ''lete pombe bila chup.....i????!!!!!.....chupa tafadhali!
 
 
Kama umekuja kwa shari g utaona ni sawa ila watu wengine hatujazoea fujo toka tumboni mwa mama zetu mimi ni mtu wa amani na mstaarabu mimi na matusi ni tofauti kabisa kabisa


Basi, basi Mziwanda weeee..........yaishe mrembo hawatakutukana tena wakirudia tunawachapa sawaaa?????
 

Hahahahahahaha MJ1 bana umenichekesha kwa kweli..

Zile za Leeeetee bia moto na kikumbe cha kupoozea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…