Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

Achana nae Dear, si unajua tena penye wengi,
ni sawa sawa na kujenga nyumba yako karibu na nyumba ya jirani mbaya je??????
Utahama ukapange wakati una nyumba yako mwenyewe???? Mpotezee Ok Mummy.
 
Kipindi kile tulipanga wana Jf tukutane ili tufahamiane kwa sura na kwa majina ya humu Jf, watu wakakataa. Leo hii Bebii acngetukanwa. Lakini ona sasa bebii anaondoka. Jamani bebii usiöndoke utatuachia majonzi.

mimi hata sishauri mkutane kwa ajili ya usalama wenu kutokana na mada znazojadiliwa humu.. Naamini "usalama wa ccm" lazma na wao watakuja na hapo ndpo watakapo wajua vzr
 
Wakaka wa jf tokezeni basi mumbembeleze bebii, yaan kutukanwa tu na jitu hulijui unababaika, utavumilia ndoa kweli wewe
OK, bebiiiiiii,bebiiiiiiii, bebi??? itika basi mrembo,usitoke mama eeeh ukitoka mimi najinyonga, sasa amua moja ubaki au mi nife. Hapa nina dawa ya panya kibao mkononi, ukisema unashikilia msimamo wako mimi bye bye
 
mimi hata sishauri mkutane kwa ajili ya usalama wenu kutokana na mada znazojadiliwa humu.. Naamini "usalama wa ccm" lazma na wao watakuja na hapo ndpo watakapo wajua vzr
mimi nisingependa kukutana na degedege nasikia ukiugua ukubwani huponi.
 
Pole wewe niambie mimi nimpe laana!!Nyambafu zake!!!Mtoto mdogo unaonewa hivi!!
 
pole bebiii na kweli ww bado bebi unaogopa kutukanwa, nkuulize tu hivi mtu akikutukana anakupunguzia nn katika maisha yao? hakunyimi kula,hakunyimi hewa wala malazi sana sana akutukanae anakuwaza kw ahivo anatambua uwepo wako, Ukija kufanya kazi kwenyee ofisi za majungu kama serikalini utakuwa unakimbia ofisi kwa kuogopa kusemwa au kusimangwa?

Hii ni part ya maisha tu, kila kitu sema let it be la sivo utakuja kuugua BP NA SHELL ukubwani kwa kuwaza au kuumizwa kwa kukwazika. vumilia bebiiiii ngekuwa karibu ngekupa ua jekundu hope ungesmileeeeeeeeeeeeeee.basi naomba umsamehe hata YESU alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na akasema tusameheane tupendane mpende adui yako na mfanye kuwa rafiki bebiiiiii.
 
Bebii naona wengi wanakupa tu pole. But mimi nakwambia huwezi kukaa hapa bila kutukanwa nikwambie niliwahi kutukanwa (Husninyo) shahidi maana naye yalimkuta lkn haondoki mtu hapa so kuwa ngangari bana kwanza ndo unampa kichwa anaona kakukomesha we dunda bana
Kweli kabisaa atatona yeye mkali ukiondoka halafu umeweka na thread ndo kabisa! JF inajumuisha viumbe wengi sana, so dont be scared umeona mwenyewe kila mtu anasema usiondoke!
 
sawa dada mkubwa ila sio fair jamani

HEy sweetie, glad to 'see' you mamito. Take heart, appreciate complements, laugh at matusi na kejeli but most of all take constructive criticism na zifanye kazi. Wote tunaexperience haya mpenzi. Afterthat naomba nikupe pole kwa yote but also kukupongeza kwa ujasiri wako wa kusamehe na pia kuyasema wazi yanayokukera.
Tunakupenda Bebii, usituache tena......mwenzio nimeshindwa kunywa pombe tangu umeondoka (nakunywa konyagi tu kwa huzuni).
Weirrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaa.... lete pombe bila chupa tafadhali!
 
sawa dada mkubwa ila sio fair jamani

oyeeeaaa. Ashadiii umemrudisha bebii ulingoni. Jamani kuishi na watu kazi, yaani kama mimi mi kama nyani mzee nimekwepa mishale mingi sana......tusi haliniumizi kichwa hata kidogo, ila ukinigusa tu nakutoa nyongo. Dedication kwa ashadii.....bushelelee bushelelee
 
nambie ni kina nani niwashughulikie wazandiki wakubwa hao wamnyimao raha shoga angu! nambie usiogope
 
sawa dada mkubwa ila sio fair jamani
hapo sasa, halafu mimi nataka nikutane nawe ana kwa ana. hope uko single and available. nikupe tusi moja tu la kikwetu kama hili hapa "good morning baby gal, how are doing, miss you so much", kwa mbali nichekie jinsi utakavyo lia halafu niyapeleke machozi yako laboratory kupima concentration of sadness vs happiness.
 
Hivi kuna mtu kweli anakasirika na kinachosemwa hapa JF?
Kama umekuja kwa shari g utaona ni sawa ila watu wengine hatujazoea fujo toka tumboni mwa mama zetu mimi ni mtu wa amani na mstaarabu mimi na matusi ni tofauti kabisa kabisa
 
HEy sweetie, glad to 'see' you mamito. Take heart, appreciate complements, laugh at matusi na kejeli but most of all take constructive criticism na zifanye kazi. Wote tunaexperience haya mpenzi. Afterthat naomba nikupe pole kwa yote but also kukupongeza kwa ujasiri wako wa kusamehe na pia kuyasema wazi yanayokukera.
Tunakupenda Bebii, usituache tena......mwenzio nimeshindwa kunywa pombe tangu umeondoka (nakunywa konyagi tu kwa huzuni).
Weirrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaa.... lete pombe bila chupa tafadhali!
Hahahaha!!!!
 
Back
Top Bottom