Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

Work like you don't need the
money, love like you've never
been hurt, and dance like
nobody is watching.
 
Kama umekuja kwa shari g utaona ni sawa ila watu wengine hatujazoea fujo toka tumboni mwa mama zetu mimi ni mtu wa amani na mstaarabu mimi na matusi ni tofauti kabisa kabisa

Basi kwa dunia hii utakereka sana. Manake sehemu moja ambayo mtu unatakiwa usikereke ni hapa JF kwa sababu hatujuani, kwa hiyo litakalosemwa linatakiwa lidunde tu lisikudhuru.
 
basi kwa dunia hii utakereka sana. Manake sehemu moja ambayo mtu unatakiwa usikereke ni hapa jf kwa sababu hatujuani, kwa hiyo litakalosemwa linatakiwa lidunde tu lisikudhuru.
sasa kama mtu humjui na hajakukera unamtukana wa nini?
 
sasa kama mtu humjui na hajakukera unamtukana wa nini?

Hizo ni katika staarehe zao watu wengine. Utamzuwia mtu staarehe zake bana! Wewe tu usikereke manake isiwe mwengine anakula staarehe wewe unajikera
 
hizo ni katika staarehe zao watu wengine. Utamzuwia mtu staarehe zake bana! Wewe tu usikereke manake isiwe mwengine anakula staarehe wewe unajikera
kwa iyo kuna watu wanapata starehe za matusi hapa jf?
 
......mwenzio nimeshindwa kunywa pombe tangu umeondoka (nakunywa konyagi tu kwa huzuni).
Weirrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaa.... lete pombe bila chupa tafadhali!



Hujatulia hata kidogo wewe.....hahahahah! nimeipenda hiyo nami ntaanza kitumia kwa Bar ''lete pombe bila chup.....i????!!!!!.....chupa tafadhali!
 
................nimemsamehe kwa heshima zenu..........!

Safi Bebii kwa kuamua kusamehe, pia umetufariji wengi kwa kusikiliza maoni yetu na kutuheshim pia, I like that na umeonyesha kuwajali wanaJF kama wao walivyokujali coz comments nyingi kwenye hii thread yako wengi wamekusihi usamehe na kumpotezea huyo aliyekukera na ndicho ulichokifanya. Tuendelee kusongesha JF na usichukie tena ukaondoka sawaaa????

Kumbe wewe mtoto Mzuriiii....safi sana ntakununulia na zawadi Bebii.........sawa Sweetie???!!!!
 
Kama umekuja kwa shari g utaona ni sawa ila watu wengine hatujazoea fujo toka tumboni mwa mama zetu mimi ni mtu wa amani na mstaarabu mimi na matusi ni tofauti kabisa kabisa


Basi, basi Mziwanda weeee..........yaishe mrembo hawatakutukana tena wakirudia tunawachapa sawaaa?????
 
HEy sweetie, glad to 'see' you mamito. Take heart, appreciate complements, laugh at matusi na kejeli but most of all take constructive criticism na zifanye kazi. Wote tunaexperience haya mpenzi. Afterthat naomba nikupe pole kwa yote but also kukupongeza kwa ujasiri wako wa kusamehe na pia kuyasema wazi yanayokukera.
Tunakupenda Bebii, usituache tena......mwenzio nimeshindwa kunywa pombe tangu umeondoka (nakunywa konyagi tu kwa huzuni).
Weirrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaa.... lete pombe bila chupa tafadhali!

Hahahahahahaha MJ1 bana umenichekesha kwa kweli..

Zile za Leeeetee bia moto na kikumbe cha kupoozea..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom